Kesho mnaekwa.Yaani kesho is our day!!!
Pole BAK uzuri muda huu una ganzi uliisha ikatia tamaa mapema timu yako so matokeo hayakuumi sana ingawa kiushabiki maumivu yapo.Ni midebwedo mitupu acha tukung'utwe tu labda itasaidia ku speed up process to get rid of Babu.
Pole BAK uzuri muda huu una ganzi uliisha ikatia tamaa mapema timu yako so matokeo hayakuumi sana ingawa kiushabiki maumivu yapo.
Lazima watie pamba wale wapo kibiashara zaidi vikombe sio kipaumbele chao. Inaumiza mashabiki wake kwa kuangalia biashara tu wakati vyote viwili vinawezekana vitabu vikasoma uzuri na vikombe vikaja pia.Ahsante sana Mkuu Guasa Amboni. Kama sikosei huu ni mwaka wa nne sasa tangu kelele za kumuondoa Wenger zilipoanza rasmi lakini owners na management ya Arsenal wameamua kutia pamba masikioni. Na kuna rumours kwamba tayari jamaa kaahidiwa kupewa contract extension ya 2 years.
Kumbe we jamaa upo Ase10 hahaAhsante sana Mkuu Guasa Amboni. Kama sikosei huu ni mwaka wa nne sasa tangu kelele za kumuondoa Wenger zilipoanza rasmi lakini owners na management ya Arsenal wameamua kutia pamba masikioni. Na kuna rumours kwamba tayari jamaa kaahidiwa kupewa contract extension ya 2 years.
pole aisee huwa najua upog liverpungaa

Lazima watie pamba wale wapo kibiashara zaidi vikombe sio kipaumbele chao. Inaumiza mashabiki wake kwa kuangalia biashara tu wakati vyote viwili vinawezekana vitabu vikasoma uzuri na vikombe vikaja pia.
Pole my dear yaani Wenger anakutesa sana,kwetu hutaki kujaAhsante sana Mkuu Guasa Amboni. Kama sikosei huu ni mwaka wa nne sasa tangu kelele za kumuondoa Wenger zilipoanza rasmi lakini owners na management ya Arsenal wameamua kutia pamba masikioni. Na kuna rumours kwamba tayari jamaa kaahidiwa kupewa contract extension ya 2 years.

Pole my dear yaani Wenger anakutesa sana,kwetu hutaki kuja![]()
![]()