Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hahahahahahah lol! mahusiano sitakagi ujinga ujinga Mkuu. Huko sina uvumilivu kama niliokuwa nao kwa The Gunners.

Faida kubwa moja wapo ya kushabikia Arsenal hauwezi kuwa heartbroken kwenye mahusiano hata siku moja... Yaani pale demu wako anapojaribu kukuumiza kihisia ni kama vile ana twanga maji kwenye kinu.
 
Ozil speaking about his former club arsenal in the year 2056

"I think it's finally time for wenger to leave "
0b7ab9be273ef1a05bf2ed17c1f99034.jpg
 
hahahahahahah lol! mahusiano sitakagi ujinga ujinga Mkuu. Huko sina uvumilivu kama niliokuwa nao kwa The Gunners.
Ahahaa ukiwa shabiki wa arsenal uliyekomaa hakiya nani moyo wako utakuwa sugu na mwepesi wa kusamehe automaically sababu kama ni kuumizwa, haya maumivu ya kila mwaka sio mchezo mkuu.
 
Unajua msimu huu ulipoanza nilitaka kuishangilia kila timu itakayoifunga Arsenal lakini nikarudi nyumbani. Mapenzi kitu kingine Mkuu kamwe huwezi kuyafananisha na unazi/ushabiki wa timu.

Ahahaa ukiwa shabiki wa arsenal uliyekomaa hakiya nani moyo wako utakuwa sugu na mwepesi wa kusamehe automaically sababu kama ni kuumizwa, haya maumivu ya kila mwaka sio mchezo mkuu.
 
Mwana kaongea kwa uchungu hadi nimejisikia vibaya. Soccer ni aina nyingine ya madawa ya kulevya maana alosto yake ukikosa ushindi ni hatari, unaweza ua mtu. Msikilize huyu fan.
Sina hakika kama nitakuwa nimepatia kuattach hii video

Hii hatari sana..!
 
Arsenalfantv, hawa jamaa nawapenda Sana aisee, kila arsenal wakidrop points lazima niwafuate you tube ni-enjoy kidogo
 
Unajua msimu huu ulipoanza nilitaka kuishangilia kila timu itakayoifunga Arsenal lakini nikarudi nyumbani. Mapenzi kitu kingine Mkuu kamwe huwezi kuyafananisha na unazi/ushabiki wa timu.

Ahahaa.. Haya mkuu naona umeniwekea na dedication kabisa hapo, inavyoonekana umekamatika haswaa!! Vipi lakin ni mzima na ni shabiki wa timu gani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwana kaongea kwa uchungu hadi nimejisikia vibaya. Soccer ni aina nyingine ya madawa ya kulevya maana alosto yake ukikosa ushindi ni hatari, unaweza ua mtu. Msikilize huyu fan.
Sina hakika kama nitakuwa nimepatia kuattach hii video

Huu ni uchungu toka rohoni na huyu ni mwakilishi wa waafidhina wote wa arsenal.. Inauma sana kuona timu hakuna inachojivunia zaidi ya uwanja kwa muda wote huo.
 
Lol! Kumbe eeh! Ukipendwa pendeka! 🙂🙂🙂

Ahahaa.. Haya mkuu naona umeniwekea na dedication kabisa hapo, inavyoonekana umekamatika haswaa!! Vipi lakin ni mzima na ni shabiki wa timu gani?
 
Aya ni baadhi tu matukio yaliyokea uwanja wa Alianz Arena baada ya Arsenal kupigwa kipigo cha mbwa mwitu n.a. Bayern Munchen
e69251f355661b760c8bb136113eeb2d.jpg
 
ARSENAL LEGENDS VIEWS ON ARSENE WENGER'S FUTURE

1. CHARLES NICHOLAS

"I want him to leave with dignity and humility after the greatness he has achieved. He will decide when the time is right but I feel that time is coming.

"He cannot continue with this pain, the anxiousness he has before games and the players not reaching the level he has delivered in the past.

"I suspect he will say enough is enough this summer, he won't announce it until the season wears as to not affect their involvement in the FA Cup'' he told skysports

2. ALAN SMITH

"I think if he announced today or tomorrow that he was stepping down at the end of the season he would then be revered as the legend he is at the football club'' he told skysports

"That toxic atmosphere would be taken away in a heartbeat and it would help the team because the atmosphere would completely change at the Emirates."

3.BOB WILSON

"He's a hugely intelligent man; he can only take so much. He lives for the club, totally dedicated, very hurt when things go wrong.

"But as everybody knows and everybody sees now, his longevity in the job, 20 years, seems to be a little bit like a millstone round his neck when things go wrong'' he was speaking to BBC RADIO 5 LIVE

"I wouldn't be at all surprised if Arsene, given the amount of headlines that are coming his way, might just look at that and say enough is enough. I think as a human being you can only take so much."

4. LEE DIXON

"He just seems so low. I think he's realising that with this team he's getting no response from them. They're not doing themselves justice or him," he told ITV Sport.

"That is the first time where I've seen him where I've thought, 'he thinks it's time'. The fact that he hasn't been able to get a response from the players in the last few weeks might be the final straw."

5.MARTIN KEOWN

he told BT Sport: "Arsene must be considering his future now."
 
Back
Top Bottom