Hahahaaa pole mwayaWENGER = BASHITE
Hivi wenger huwa anafurahia kufungwa?WENGER AONDOKE TU
Huyu mzee mi hata simpatii jibu kabisa,toka 2006 mpk leo,hana jpya,cjui ana funza kichwani kwakeHivi wenger huwa anafurahia kufungwa?
HahahahahaNaona kila kitu kiko sawa....tunaendelea n.a. mapambio.
Ule unaimba....Bwana kama wewe ungesabu maovu yetu...nani angesima nani angesimama nani angesimama mbele yako×2
Vuta subira kombe lenyewe moja ili ulichukue ya kupasa ukomae sura sio mchezo watu bodi ndo wenye shida sio wengerHuyu mzee mi hata simpatii jibu kabisa,toka 2006 mpk leo,hana jpya,cjui ana funza kichwani kwake
Vuta subira kombe lenyewe moja ili ulichukue ya kupasa ukomae sura sio mchezo watu bodi ndo wenye shida sio wenger
Duh! huyu mzee ana waqt mgumu kuliko nyakati zote alizokuwepo hapo.
So, it's Lincoln City v Arsenal, right?

