Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakat umewadia ngoja
Niongeze bia yakuanza first half
 
upload_2017-3-4_17-30-19.png


ALX on the bench
 
Tofauti yetu na timu nyingine nyingi. Wao wakiingia kwenye penalty area wanaamua kufanya kweli na kutafuta goli kwa kila namna huku wakiongeza speed, siye tutaendelea kupasiana hata pasi 20 na mara nyingi kuishia kupoteza mpira.
 
Back
Top Bottom