Natangaza Rasmi kuacha kushabikia arsenal Mpaka wenger atakapo ondoka ahsanteni na kwaherini waungwana
Yamekua hayo mkuu?Natangaza Rasmi kuacha kushabikia arsenal Mpaka wenger atakapo ondoka ahsanteni na kwaherini waungwana
hakunaga mtu mwenye wivu na mshindwa!!!mnashindwa kila siku nani awaonee wivu??pia mambo ya mpunga safi washabiki hawapati huo mpunga..mshabiki anachopata ni kusherehekea ubingwa....sasa ukimuambia asubiri miaka 4 ni kumkwaza!!!hongera lakini kwa kuwa diehard fan wa gunnersArsenal ni Private club inayomilikiwa na Kronke, matajiri wakubwa wanainyatia ili waweze kuwa na mamlaka kwa sababu ya kuendeshwa vizuri sana na Prof. Wanatengeneza mpunga safi sana na kukuza vipaji vya wachezaji na ushindani katika soccer. Watu wanaona vinaelea tu hawafahamu kwamba vimeundwa. Prof amesema anahitaji miaka 4 (Four more years), tusubiri mwenye mali atasema nini chichi wengine ni ushabiki tu. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wenye wivu wakajinyonge.
Kijana vipi tena?!! Siku hizi sikuoni jukwaa lako pendwa!Natangaza Rasmi kuacha kushabikia arsenal Mpaka wenger atakapo ondoka ahsanteni na kwaherini waungwana