Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Ndio wivu wenyewe huo. Mafanikio ya Arsenal so far unayaonea gere, hakuna aliyekukaribisha kwenye jukwaa la Gunners, umekuja mwenyewe kwa hiari yako. Pilipili iko Emirates wewe inakuwasha hata sijui unatoka wapi? What a loser!hakunaga mtu mwenye wivu na mshindwa!!!mnashindwa kila siku nani awaonee wivu??pia mambo ya mpunga safi washabiki hawapati huo mpunga..mshabiki anachopata ni kusherehekea ubingwa....sasa ukimuambia asubiri miaka 4 ni kumkwaza!!!hongera lakini kwa kuwa diehard fan wa gunners
