Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
tatizo mkuu sizungumziii mechi moja nazungumzia in general.Sio kweli, kulikuwa na creativity kubwa sana ile siku Nasri alipopiga lile goli tamu! Nasema tena: Gunners ni timu sio mtu. Hata akienda Barca huyo dogo sisi tutapeta tu. Tena in 1 or 2 years Diaby atamature na hapo ndio utaelewa kwa nini Monseur ni bingwa wa kukuza vipaji!
Mkulu na wewe hapa unatuchefua,hakuna mwenye hofu na kichapo jtano wao Barca ndo wana hofu na sisi kwa jinsi tutakavyowachapa kipigo cha mbwa mwizi..ahahaaahhWenga naona akili imeingia ukungu kwa kumhofia Messi! Majuzi watalaamu wamesema timu inafaiti hadi mwisho. Na ndio maana mechi kibao imefunga magoli dakika za lala salama. Hata hiyo ya jana ilikuwa iwe hivyo. Sasa wewe unajeneralaizi kwenye ligi nzima. Hivi unajua tumefungwa mechi ngapi? Zichambue zote halafu uniambie kama vijana hawakufaiti hadi dakika ya mwisho - anza na gemu la Manchester City? Hapa ishu sio kutofautiana mawazo- ishu ni kuweka facts sawa! Mechi ya jana vijana walikuwa ofu kwa hofu ya kibano cha jumatano!
Mkulu na wewe hapa unatuchefua,hakuna mwenye hofu na kichapo jtano wao Barca ndo wana hofu na sisi kwa jinsi tutakavyowachapa kipigo cha mbwa mwizi..ahahaaahh
kwahio wolves nayo tutashindwa kushinda kwa vile tutakuwa na hofu ya mechi ya marudiano na barcelona? hio sababu siwezi kuikubali kabisa kwamba hofu ndio imetufanya tupoteza.mechi ya jana ilitusumbua kama mechi zote za physical game zinavyotusumbua. mechi ya barcelona ni rahisi kuliko na birmingham kwa vile barcelona watatuachia tucheze mpira wetu kwani wao style yao ni sawa na sisi hawako too physical.Wenga naona akili imeingia ukungu kwa kumhofia Messi! Majuzi watalaamu wamesema timu inafaiti hadi mwisho. Na ndio maana mechi kibao imefunga magoli dakika za lala salama. Hata hiyo ya jana ilikuwa iwe hivyo. Sasa wewe unajeneralaizi kwenye ligi nzima. Hivi unajua tumefungwa mechi ngapi? Zichambue zote halafu uniambie kama vijana hawakufaiti hadi dakika ya mwisho - anza na gemu la Manchester City? Hapa ishu sio kutofautiana mawazo- ishu ni kuweka facts sawa! Mechi ya jana vijana walikuwa ofu kwa hofu ya kibano cha jumatano!
kosa la kukosa magoli ya wazi huwa yanatutokea kila siku bila kuwa na game ya champions league wala nini.. arshavin akili haikuwa uwanjani - cheki goli alilokosa. almunia mawazo yalikuwa kwao hispania - cheki alivyofungwa kiaina
powa mkuu lets focus kwenye game ya jumatano.Wenga mbona unakuwa mbishi kama pishi wakati kila kitu kiko wazi. Kama Adebayo aliwadistract kama hoja yako inavyosema, na nakubaliana nayo, kwa nini hukubali kuwa Messi kawadistract jana? Na kama hofu sio tatizo kwa nini wajina wako alisema hivi kabla ya mechi:
Wenger, meanwhile, insists he has no intention of letting any of his players get carried away in the pre-match hype - feeling his team were a "bit distracted by all the fuss about the draw'' when only showing patches of their true form during the 2-0 win over West Ham on Saturday. (http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=759744&sec=uefachampionsleague&cc=3888)
?
Sasa fikiria walianza kuwa distracted toka siku walipocheza na West Ham. Sasa jana ndio ikawa balaa. Hivi sasa ndio wamechanganyikiwa kabisa ndio maana wajina wako kasema hivi:
He said: "Will it be hard to lift the players up for Barcelona? Yes, it is always hard to pick the players up when you get caught like that at the end of a game."We are on a run that is very difficult and where we have no room for error at all so the result at Birmingham was a big disappointment. It felt like a defeat but the game against Barcelona is in a different competition and we have a few days to recover and prepare. (http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=762797&sec=uefachampionsleague&cc=3888)
powa mkuu lets focus kwenye game ya jumatano.
Are you sure Xavi yuko injured?mzee arsene wenger usiwe na shaka mtashinda.Barca watakuwa wanammiss XAVI na INIESTA wote injured hao,ni sawa arsenal wasiwe na fabregas na nani sijui nasri/diaby/song
Are you sure Xavi yuko injured?
Mkubwa perfomance ya NASRI imeanza kupanda hivi karibuni, na kwa sasa Fabregas sasa anacheza akiwa majeruhi, wachezaji wengi hawako consistency angalia kama Almunia leo anadaka penati mechi ijayo anafungwa goli la kizembe i hope angekuwa Galas uwanjani angemkoromeaSasa unaunga mkono longolongo? Yaani unaamini anachosema Belo kuhusu Fabregas wakati unajua fika kuwa zile mechi ambazo hakucheza tulishinda tena kwa kishindo au Phillips kakuchanganya? Pengine umesahau mambo ya Nasri?
Mkubwa perfomance ya NASRI imeanza kupanda hivi karibuni, na kwa sasa Fabregas sasa anacheza akiwa majeruhi, wachezaji wengi hawako consistency angalia kama Almunia leo anadaka penati mechi ijayo anafungwa goli la kizembe i hope angekuwa Galas uwanjani angemkoromea
Arshavin msimu huu ni kawaida kukosa magoli ya wazi but anafunga kwenye imposible angle
tuendelee kuomba dua diaby na fabregas wawe fit jumatano wakuu.
Arsenal v Barcelona: First-leg kits confirmed
Barcelona will wear their change kit of yellow shirts and blue shorts at Emirates Stadium on Wednesday.
Arsenal will wear their usual home kit of red shirts with white shorts for the Champions League Quarter-Final first leg.
However, Arsène Wenger's side will revert to a change kit of white shirts and grey shorts for the second leg in Barcelona next week.
Huu uzi naukubali
tuendelee kuomba dua diaby na fabregas wawe fit jumatano wakuu.