Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[HASHTAG]#uchochezi[/HASHTAG]
3D44122A00000578-4228418-image-a-1_1487201528880.jpg
 
Kiufupi tu kwamba arsenal umefika muda sasa tu forego hiyo champions league na turudi kutafuta heshima EPL kwa nguvu...tukisema tuendelee kuitolea macho hii michuano we have to expect the same story over and over!!

Kwa kikosi gani mlichonacho?
 
Ningekuwa manager wa Arsenal ningefukuza wachezaji wote na kumbakisha Sanchez tu.

Arsenal ya wakati huo ilikuwa na world class wengi tu ila sasa hivi ni wachezaji size ya Bolton.
 
Mistake gani kafanya kipa kwenye hilo goli la kwanza? Nionavyo mimi kosa kafanya Coqlin kumruhusu Robben aingie ndani na mguu wa kushoto wakati kila mtu anajua Robben huwa anataka na atafanya nini kutokea wing ya kulia.
Shida yake kipa avunjike mbavu Di Maria nae alifanya hivyo hivyo kwa barca kiukweli jana nyanda kafuta nyingi wangepewa zaidi ya wiki.
 
Poleni wakuu Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,Amen!
 
Ahsante sana. Ukishazoea vipigo kama hivi hata moyo na akili vinakuwa sugu maana vyote vilishajiandaa kwa kipigo kitakatifu. Imekuwa kawaida sasa na kawaida ni kama sheria tukitoa pua na Bayern au BARCA basi ni mkong'oto wa kufa mtu. Bora hata sikuangalia hii mechi.
Faida kubwa moja wapo ya kushabikia Arsenal hauwezi kuwa heartbroken kwenye mahusiano hata siku moja... Yaani pale demu wako anapojaribu kukuumiza kihisia ni kama vile ana twanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom