Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

21553d6d3f75dfa25ce62b67464d5a96.jpg
. Mtandao wwnye kasi 5GG
 
Pengo la kuumia Kos limeonekana. We will see them at Emirates, Ozil missed a sitter, they have an advantage but anything can happen in football. If any team can win its the Gunners watch this space.
22fc57a4ada88f630fa77e2ffc5e752a.jpg


Asern8 nyie wabebez tu
 
Wenger tuachie timu yetu ni kubwa kuliko wewe
Kwa nini awaachie timu wakati kuku anaowafuga wanatotota mayai mengi tu. Leo wamewapeni mayai 5 au mlitaka zaidi ya mayai 5?
Mnamlaumu Wenger bure. Ona Alex alivyokuwa anawapa moyo na kuwataka wakimbie kimbie uwanjani lakini kuku zingine zilipooza kabisa. Lile yai la 5 kwa mfano, kipa na beki mbili zinashindwa kupeleka mpira mbele wakiwa wameshatandikwa mabao 4.

Nilipoona mlimia meno ameingia badala ya Koscielny nilikimbilia bakuli la bisi nikijua sasa hapana kazi tu!
Nilikumbuka kauli ya "Mwafaaa!"

Bayern walitumia mbinu safi sana ya kuwadondoshea mtama kuku wa Wenger. Na kipa amewaokoa sana leo, vyenginevyo Kuku wa Wenger wa wangempatieni mayai dazeni moja.

Wenger Out?

Kama tu mmeshiba mayai. Nani amechoka kula mayai? Kula mayai kwa ajili ya kuimarisha afya yako.

Kijana, nipatie zege ya mayai 5.
 
Arsenal ni sawasawa na Yanga tu. Hawa, hawana jipya kwenye mashindano ya kimataifa, yaani wanaridhika kupanda ndege tu na kuwa wasindikizaji mwaka nenda mwaka rudi.

Acha uku.da wewe, unaanzaje kufananisha Arsenal na wa kimataifa??? fananisha na mikia at least the got something in common
 
Arsenal is overrated. They have too many average players.

Sioni arsenal hii ikifika popote kwenye michuano yeyote na kikosi hiki..
 
Back
Top Bottom