Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahsante sana. Ukishazoea vipigo kama hivi hata moyo na akili vinakuwa sugu maana vyote vilishajiandaa kwa kipigo kitakatifu. Imekuwa kawaida sasa na kawaida ni kama sheria tukitoa pua na Bayern au BARCA basi ni mkong'oto wa kufa mtu. Bora hata sikuangalia hii mechi.
nami nilitaka nikuulize kama ulipoteza usingizi wako.

hapa kuna jamaaa namsubilia ofisini mana jana alikuwa na mbwembwe sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha huyo ana lake jambo. Mbwembwe za Arsenal inapocheza na Bayern!?

nami nilitaka nikuulize kama ulipoteza usingizi wako.

hapa kuna jamaaa namsubilia ofisini mana jana alikuwa na mbwembwe sana.
 
Washabiki wa Arsenal mnafurahisha sana. Mkishinda mechi mbili tatu mnasahau mapungufu yote ya timu.

Mimi huwa nawaambia kila msimu subirini soon mtaanza [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] cries! Here we are. Poleni sana even though 5.1 is the best home theatre sound.
 
Mie nilijua mapema Mkuu, kuna mshikaji wangu Gunners mwenzangu akaniuliza vipi Mkuu una matumaini? Nikamwambia naziona goli 3 au hata nne. Akaniambia duh! zote hizo? Mimi naona draw. Nikamwambia tukitoa draw kwao ni achievement kubwa sana kwetu.

Kuna jamaa yangu mshabiki wa Arsenal jana nilimwambia afadhali alale tu maanake matokeo yatakuwa kama ya psg vs barcelona!
 
Nasikia Board inataka kumuongezea Wenger mkataba wa miaka 3.
Asern8 kuweni wapole tu
 
It's gonna be 7th time in succession no quaterfinal and we campaign in every season ...yanini sasa?

Yaani tuongeze kundi, tusiongoze na kupita kama best loser destination yetu ni ile ile, huoni ni kujichosha huko bila kuambulia chochote zaidi ya hasara tu huku kwenye michuano ya ndani kutokana wasteful reserved energy?

Mi naona hata msimu hujao tusipo shiriki hii michuano itakuwa ni advantage kubwa sana kwa sababu tuta converge efforts zote kuzielekezea kwenye michuano ya ndani na kwa kufanya hivi hakika hatuwezi tukakosa hata kimoja kati ya vyote vile...!!

Arsenal ina matatizo mengi tu na kubwa hasa ni kuwa na kikosi chenye wapambanaji wachache unao weza kuwategemea kwenye hatua kama hii.

Kingine Arsenal ilishapoteza momentum kwenye haya nashindano kutokana na hizi early eliminations... Unajua kwenye haya mashindano kadri unavyokuwa unasonga mbele ndio hata confidence na adamancy kwenye timu zinaimarika na unajikuta na wewe unakuwa mgumu automatically. mfano timu kama Atletico madrid sasa hivi inauwezo wa kupambana dhidi ya timu yoyote ile na pakachimbika wala hawawezi kutolewa kizembe, misimu kadhaa ya hawakuwa hivi. Arsenal hata angepangwa na Benfica bado ngoma ingekuwa tough tu si unakumbuka monaco!?

Kiufupi tu kwamba arsenal umefika muda sasa tu forego hiyo champions league na turudi kutafuta heshima EPL kwa nguvu...tukisema tuendelee kuitolea macho hii michuano we have to expect the same story over and over!!
Pole mkuu wangu umeandika kwa uchungu, binafsi nafikiri tatizo lenu ni bench la ufundi, imefika muda wapishe akiri mpya na mbinu mpya
 
Wapo walio waghadhibisha kwa maneno yao ya shombo pia wapo walio wapeni ushauri murua ingawa kwa lugha kali mimi najikita kuwapeni pole ndugu zanguni.
 
Acha uku.da wewe, unaanzaje kufananisha Arsenal na wa kimataifa??? fananisha na mikia at least the got something in common


Jiulize, hiyo Yanga ya kimataifa imefanya nini toka wewe umezaliwa mpaka hapa ulipofika na akili zako hizi finyu? Nimeifananisha Arsenal na Yanga because Yanga ndivo ilivyo.....haitambi kimataifa na haijawahi kufika fainali hata siku moja, au ulikuwa hujuwi hili unashabikia tu? Timu gani kila mwaka inaridhika kupanda ndege tu ila haina lolote.
 
wakija nyumbani tutarekebisha makosa, tena sanchez na Ozil watakwepo lazima tupite.

3D435EE200000578-4228418-image-m-95_1487193433953.jpg
 
Back
Top Bottom