Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Binafsi naona hii michuano haina maana yoyote kwetu.

Na hata msimu huu haina haja ya kutumia nguvu nyiingi eti tumalize tukiwa nafasi ya nne... Yaani haina maana kabisa.
 
upload_2017-2-16_1-41-45.gif
 
Tutalipata tu siku moja Mpira unadunda.

Hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Timu yangu ni mbovu kila dept. Ni aibu kubwa kwa timu ya EPL kupigwa idadi ya magoli kama hii karibu kila mwaka kwenye UEFA ama na BARCA au Bayern Munich. Waswahili walisema BURE GHALI!
 
Binafsi naona hii michuano haina maana yoyote kwetu.

Na hata msimu huu haina haja ya kutumia nguvu nyiingi eti tumalize tukiwa nafasi ya nne... Yaani haina maana kabisa.
Mkuu
Umekata tamaa kabisa..?
Kwani tatizo haswa au mapungufu unayaona yako sehemu zipi (The gunners).
 
Arsenal is overrated. They have too many average players.

Sioni arsenal hii ikifika popote kwenye michuano yeyote na kikosi hiki..
Kabisa-Kabisa!
Player's wengi ni wakawaida mno ,Ukifanya upembuzi yakinifu hawavuki wachezaji wa tano wa kiwango kile.
Hizi Sera za Mzee huyu arsene Wenger katika Sajili inabidi azibadilishe Soka la Dunia ya Sasa limebadilika.
 
FT: It's all over! Bayern have ripped Arsenal to shreds in the second-half to take full control of this tie. It's finished 5-1 to Bayern against Arsenal for the second successive season at the Allianz Arena. Arsene Wenger's side, who were well in the tie at the break thanks to Alexis Sanchez's away goal, were dismantled by a brilliant Bayern performance.

Timu yangu ni mbovu kila dept. Ni aibu kubwa kwa timu ya EPL kupigwa idadi ya magoli kama hii karibu kila mwaka kwenye UEFA ama na BARCA au Bayern Munich. Waswahili walisema BURE GHALI!
 
Kwa jinsi ninavyowajua majiran zetu wakenya kwa kipigo hiki cha Arsenal.. sidhani kama Israeli leo atakua mbali na kisumu, mombasa na viunga vyake vyote..
Naona Saizi Majirani washausoma Upepo wa Arsenal,Manaake Familia nzima inawezakupotea hivi-hivi.

Waswahili wanasema-Tawi Kavu Kuanguka si Ajabu.
 
Sasa inatosha Mzee ametudhalilisha kiasi chakutosha!kuanzia vipigo vya goli 8 kutoka kwa Man untd,6 toka kwa Chelsea 6 toka kwa Man city na hizi 5 tano ndio zimekua kibao

Kwakweli kwa hadhi ya timu kama Arsenal nasema huu ni udhalilishaji wa kiwango cha juu sana,kama kocha mwenye busara huitaji kufukuzwa ni kuachia timu mwenyewe Mzee Wenger sasa inatosha!
 
Mkuu
Umekata tamaa kabisa..?
Kwani tatizo haswa au mapungufu unayaona yako sehemu zipi (The gunners).
It's gonna be 7th time in succession no quaterfinal and we campaign in every season ...yanini sasa?

Yaani tuongeze kundi, tusiongoze na kupita kama best loser destination yetu ni ile ile, huoni ni kujichosha huko bila kuambulia chochote zaidi ya hasara tu huku kwenye michuano ya ndani kutokana wasteful reserved energy?

Mi naona hata msimu hujao tusipo shiriki hii michuano itakuwa ni advantage kubwa sana kwa sababu tuta converge efforts zote kuzielekezea kwenye michuano ya ndani na kwa kufanya hivi hakika hatuwezi tukakosa hata kimoja kati ya vyote vile...!!

Arsenal ina matatizo mengi tu na kubwa hasa ni kuwa na kikosi chenye wapambanaji wachache unao weza kuwategemea kwenye hatua kama hii.

Kingine Arsenal ilishapoteza momentum kwenye haya nashindano kutokana na hizi early eliminations... Unajua kwenye haya mashindano kadri unavyokuwa unasonga mbele ndio hata confidence na adamancy kwenye timu zinaimarika na unajikuta na wewe unakuwa mgumu automatically. mfano timu kama Atletico madrid sasa hivi inauwezo wa kupambana dhidi ya timu yoyote ile na pakachimbika wala hawawezi kutolewa kizembe, misimu kadhaa ya hawakuwa hivi. Arsenal hata angepangwa na Benfica bado ngoma ingekuwa tough tu si unakumbuka monaco!?

Kiufupi tu kwamba arsenal umefika muda sasa tu forego hiyo champions league na turudi kutafuta heshima EPL kwa nguvu...tukisema tuendelee kuitolea macho hii michuano we have to expect the same story over and over!!
 
Timu yangu ni mbovu kila dept. Ni aibu kubwa kwa timu ya EPL kupigwa idadi ya magoli kama hii karibu kila mwaka kwenye UEFA ama na BARCA au Bayern Munich. Waswahili walisema BURE GHALI!
pole sana.
 
Ahsante sana. Ukishazoea vipigo kama hivi hata moyo na akili vinakuwa sugu maana vyote vilishajiandaa kwa kipigo kitakatifu. Imekuwa kawaida sasa na kawaida ni kama sheria tukitoa pua na Bayern au BARCA basi ni mkong'oto wa kufa mtu. Bora hata sikuangalia hii mechi.

pole sana.
 
Back
Top Bottom