Wandugu i know most of U are disappointed na matokeo ya Watford,
Wengi tulitegemea ushindi na ungekuwa wa muhimu kwa kuamsha hari ya game dhidi ya Chelsick.
Mimi niko tofauti kidogo wala sina shaka. Yes they are stable na wana nafasi ya kushinda mechi ya kesho coz wako kwenye state ya hari ya kimchezo hiyo ni advantage.
But nina imani Gunners tunaweza kutumia hasira za mechi iliyopita in a positive way to win the game kama Wenger can get a gud use of that kuwapa wachezaji morale na hili naliona. Its very rare kukuta hata kwenye website ya arsenal hakuna updates za maandalizi ya game inayokuja ukizingatia ni big match.
Hii inanipa picha kuna kitu wenger anakipika bila kutaka kuwaamsha hawa majirani bado namuamini huyu babu. Mechi ya kesho huwezi kamwe kusema inatoa picha ya ubingwa bali inakusogeza karibu na upingwa. Bado nina imani tutashinda.
With chalenge ya midfielders ikifanyiwa kazi vyema nauona ushindi bado.