Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

16473280_648687605334608_5176623856163858500_n.png
 
Huwezi kunusurika kila siku kuna siku utazama tu. Mechi ya ngapi hii Arsenal anaanza kufungwa 2-0/3-0 then wanarudisha? Huwezi kufanya hivyo mara kwa mara.

Arsenal ni ile ile.
 
Sisi ni midabwada 2 goals in a span of 3 minutes!? Nilidhani points 3 leo ni za uhakika. Kipigo kingine tutakipata Jumamosi na hivyo kupunguza kama si kuondoa kabisa matumaini ya kutwaa ubingwa.
Aseno the maandaz mnawaza ubingwa aisee kweli ukistaajabu ya Asenane utayaona ya Watford
 
OZIL RAPA
 

Attachments

  • 20170201_014826.jpg
    20170201_014826.jpg
    21.8 KB · Views: 45
Kwani ubingwa unapatikanaje wewe? Kuna mtu aliyetegemea Leicester kuwa mabingwa msimu uliopita? Ni mikakati tu ya nguvu and team to play like a team in order to achieve its goals.

Aseno the maandaz mnawaza ubingwa aisee kweli ukistaajabu ya Asenane utayaona ya Watford
 
Duuu watu wanapenda Arsenal , what is the issue mbona hizi timu zenu ziko chini ya table
 
Hili jukwaa mnaanua matanga lini maana si vizuri tuunganishe misiba
 
Wandugu i know most of U are disappointed na matokeo ya Watford,

Wengi tulitegemea ushindi na ungekuwa wa muhimu kwa kuamsha hari ya game dhidi ya Chelsick.

Mimi niko tofauti kidogo wala sina shaka. Yes they are stable na wana nafasi ya kushinda mechi ya kesho coz wako kwenye state ya hari ya kimchezo hiyo ni advantage.

But nina imani Gunners tunaweza kutumia hasira za mechi iliyopita in a positive way to win the game kama Wenger can get a gud use of that kuwapa wachezaji morale na hili naliona. Its very rare kukuta hata kwenye website ya arsenal hakuna updates za maandalizi ya game inayokuja ukizingatia ni big match.
Hii inanipa picha kuna kitu wenger anakipika bila kutaka kuwaamsha hawa majirani bado namuamini huyu babu. Mechi ya kesho huwezi kamwe kusema inatoa picha ya ubingwa bali inakusogeza karibu na upingwa. Bado nina imani tutashinda.
With chalenge ya midfielders ikifanyiwa kazi vyema nauona ushindi bado.
 
Then ni kama Coincidence. Ngwe iliyopita chelsick alitoka kucheza na liverpool baada ya kuchwapwa tukampokea na sie.
This time ni the same liver kamlegeza sie tunammalizia.
Sijui wapangaratiba walifikiria nini kupanga hivi
 
Back
Top Bottom