Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata wakati the special one akiwa chelsiki ulikuwa unamnaga sana siku hizi mnae.

Unanikumbusha demu anavyotongozwa na mwanaume fulani halafu anamnaga eti hafai kuwa mume wangu, siyo type yangu.

Baada ya miaka mitatu hivi unakutana nae wameshaoana na wana mtoto. Ukimwuliza vipi tena mbona ulisema siyo type yako anakujibu "hayakuhusuuuuuu".
Hahahahahaja hata nami nasema hayakuhusu!!!
 
Mechi kubwa km hizi ozil na sanchez wasianzie bench ona sasa mmekula 3-1
 
The gunners!!
Wazee wa snake-snake pass, na Mzee wenu Arsene Wenger atazeekea pale.

Aisee THE blues hawaeleweki mbinu zao manaake katika butuabutua hawako,mashambulizi yakushitukiza hawako-Wapo wapo lakini ushindi lazima.

Ama kweli huu ni Mwaka wenu the blues.
 
4b9a20521594243217e39f5c9b75d8e0.jpg
 
Baada ya kupata doze takatifu sasa mzee wenger anawarudisha emirates......!!!
a86c2930a9f97bd58e5f1df8d2cf666e.jpg
 
Nendeni mkanywe chai chacha kwenye cow shed Gunners wamefungwa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nendeni mkanywe chai chacha kwenye cow shed Gunners wamefungwa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
siyo kufungwa tu bali karudi nafasi ya 4 . khe kheeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom