Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mtu nilimwambia humu feb hiyo nyakati za mashabiki wa arsenal kuanza kumbebea wenger mabango umefika akabweka sana na mwez bado mbichi sana.
 
Screenshot_2017-02-05-21-15-27.png
tapatalk_1486372369153.jpeg
tapatalk_1486372692531.jpeg
tapatalk_1486373460479.jpeg
 
If you need to *** up arsenal just call hazard, he does the job gentle khe khe kheee
 
Mimi sioni sababu ya Gunners kupiga kelele hasa kwa Wenger, Arsenal wanajua kabisa miezi hii nafasi yao inapaswa kuwa hipi? Hivyo mnatakiwa kuhakikisha kuwa man haji hapo mlipo
 
Haya rudini kwenye vitimu vyenu msiba umekwisha hapa.
 
upload_2017-2-9_19-7-3.png


Mohamed Elneny is back from African Cup .... ... ..

upload_2017-2-9_19-8-40.png


Granit kamaliza kifungo chake .... ...
 
Kuna gazeti nimesoma kichwa cha habari Ozil amefukuzwa Arsenal. Kuna ukweli wowote katika hili au udaku tu at work
Majungu tu hayo, timu pinzani wanamwogopa. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom