Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sare itakuwa safi sanaaaaa.
 
Sijauona mpira wa leo mkuu, lakini hakuna mbaya point mbili advantage ndiyo imeporonyoka hiyo six games to go. Lakini si unamfahamu Howard Webb ... ....
Come on Gunners ... .... ...

namjua howard webb lakini leo wenyewe tu uzembe wetu hatujui kupoteza mda kwenye injury time kama zile.

leo mkuu tumeuza ushindi mkubwa sana hakuna kingine zaidi ya uzembe.
Najua tu Howard Webb amewaonea sana leo ingawa sijauona mpira, mlistahili ushindi.
 
sio uzembe, ni hofu ya barca. mawazo yote yalikuwa jumatano. hata listi ilipangwa kwa kuzingatia hilo - utamwekaje nasri benchi! na eboue akae nje muda wote! wenga kacheza kamari mbaya sana leo!

Barca wanaongoza 1-0 vs Mallorca, dakika ya 70
 
Nimeambiwa Chelsick wanakwenda kucheza na unga kwenye bar wakati wa Champions League. Wamebaki kuwa watazamaji wakati miamba wa soka wanapopambana.
 
kwahio unasema tume sacrifice premier league kwa ajili ya champions league?

Ndio maana yake. Wenga alijidai prayoriti itakuwa kwenye gemu la leo. Halafu akapanga listi ya ajabu - hakuna Eboue, Nasri na Asharvin na muda aliowaingiza hao wawili ulikuwa ni muda wa hatari sana. Kumbuka majamaa walishagonga besela kabla hata ya Nasri hajatunusuru. Hivyo ilikuwa ni haki yao kabisa kusawazisha hasa baada ya sisi kukosa magoli ya wazi! Timu ilikuwa legelege (lethargic) kuanzia kapteni Fabregasi mpaka kipa Almunia maana walikuwa wanamuwaza Lionel 'The Flea' Messi! Mtu pekee wa maana uwanjani alikuwa Alaxandre Song!
 
One of the few honest Arsenal fans, majority would say Howard Webb robbed you even if they didn't watch the game! Big up C!
 
WENGER INTERVIEW


On Cesc Fabregas' injury...
"I don't know medically. We will have to assess that tomorrow. He got tackled at the knee. We tried to take him of at first but after he said he was alright."


On if he will miss the Barcelona game...
"I don't know."


On leaving Nasri and Arshavin on the bench...
"Arshavin had a groin problem and Nasri had a knee problem from the last game."


On where the result leaves Arsenal in the title race...
"It is a big blow for our title, of course. We were in a position where we had to win all our games and not to win today is a big blow to our chances."

Kwa namna hii sidhani kama tutashinda game ya J'tano, majeruhi kibao.Lakini kwa nguvu za Mungu tutashinda 2-1 hiyo j'tano.
 
Even Barca believe in God, they are actually coming from a Christian Nation.
 

Full stretch: Birmingham goalkeeper Joe Hart dives in vain
in a bid to stop Nasri's shot
 


Goalscorer Samir Nasri is grabbed by Nicklas Bendtner


 
Even Barca believe in God, they are actually coming from a Christian Nation.
Ha ha ha ha sasa wote tukimtegemea Mungu na imani atamchagua aliye mnyonge.We are trophless kwa mda mrefu kwa hiyo Mungu atatusikia zaidi , Arsenal 2-1 Barca
 
I'm watching MOTD, kweli naona Howard Webb "amewaonea" sana! You need to find your own referees.
 
I'm watching MOTD, kweli naona Howard Webb "amewaonea" sana! You need to find your own referees.

...hatuhitaji refa kama kina Manure 🙂


...a month? hapana bana, arudi kuziba pengo aliloliacha. Bendtner mbado kabisa kuwa main striker, na Arshavin hataki kufunga! 🙁

Anyway, Jumatano we'll be different Gunners! ...hata nyie Chelski mtafurahia

"Together we stand!"
 
Matokeo mazuri kwetu katika mechi ya J`mosi kati ya Chelsea na MANU ni hizi timu kutoka sare ya 0-0 na sisi tukiwapiga bao wale Wolves basi tutakuwa tumerudidha tena matumaini ya kuibuka kidedea ambayo jana yaliathirika kidogo.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 10 (5 members and 5 guests)
Balantanda, Wacha1+, Abdulhalim, Baba Mkubwa+, Ng'wanza Madaso

Mpemba kalale bana...Naona ng'adu kwa ng'adu na sisi...Hahahaaaaaaaaa

Nimelala nimeamka lakini bado upo hewani NGosha, vipi au una time-machine?

Currently Active Users Viewing This Thread: 4 (2 members and 2 guests) Abdulhalim, Balantanda
 
Matokeo mazuri kwetu katika mechi ya J`mosi kati ya Chelsea na MANU ni hizi timu kutoka sare ya 0-0 na sisi tukiwapiga bao wale Wolves basi tutakuwa tumerudidha tena matumaini ya kuibuka kidedea ambayo jana yaliathirika kidogo.

Angalia sanaa hapo sio kihunzi kidogo hicho....usihesabu kifaranga wakati hakijatotolewa...Pagumu kwenu hapo ukichukuliwa wolves anataka kujiweka kweny sehemu salama ya kuwepo msimu ujao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…