![]()
Ok it's ya turn Steve Bould,unatakiwa uongoze jahazi kwa game 4 zinazofuata kuanzia leo simply sina shaka na uzoefu wako upo Arsenal kwa miaka lundo we (Arsenal) got ya back old man show us what u got.
For the brave nothing is difficult..COYG![]()
Angalia kushoto ya picha baina ya shavu la Wenger na koti unaona nini? Remote au microphone?link Arsenal Special ThreadShida anaweza kuwa TV remote ikaendelea kufanya kazi tokea jukwaani
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Ndoto za asubuhi huwa ni tamu kweli. Imebaki siku moja tuNina imani liver watarudi mchezoni..wakimuondoa huyu kiumbe point tatu na sisi tukamuondoa tatu basi ni mwororo


Lahaulah siku imetimia sasa. Na tuone jeuri yenu. Kama hamjaja na usemi mpya tunafungwa na timu kubwa tu yangu machoNdoto za asubuhi huwa ni tamu kweli. Imebaki siku moja tu
Tuonane baada ya dakika 90!Arsenal 0 - 2 Watford
Haya ngoja nirudi kwetu