Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Kimya..
Kheee kheeeee kheeeeee pole mkuuKhe khe kheeeeee mbona mapema hivi...
Asante kwa niabanya wenyewe..mimi jirani mwema tu...niko msibani!!!Kheee kheeeee kheeeeee pole mkuu
Wacha1. Naona umeisha kazwa 2 za fasterView attachment 465508
Sutton's Gander Green Lane has a capacity of 5,000 compared with Arsenal's 60,000
''Non league side Sutton, the lowest side left in the draw, kept it simple.''
Away game FA cup itchezwa Gander Green - uwanja wa nyumbani wa Sutton.
TV money itawasaidia kidogo .... .... .
Arsenal 0 vs 2 WattfordArsenal leo ushindi upo wazi
Marehemu mtarajiwa ni jirani yangu kabisa aisee. Yani tunaombana chumvi na sukari. Juzi tu nimempa kipa wangu...sijajua shida hasa ya jirani yangu huyu.Kheee kheeeee kheeeeee pole mkuu






Ndoo mnaweza kupata,lakini kwa ubingwa hamjawa tayari.Mnacheza kiutani utani.Sisi ni midabwada 2 goals in a span of 3 minutes!? Nilidhani points 3 leo ni za uhakika. Kipigo kingine tutakipata Jumamosi na hivyo kupunguza kama si kuondoa kabisa matumaini ya kutwaa ubingwa.
Vipi hapa ,zenyewe ziko wapi? Wenye jukwaa mmepotelea wapi?
Ndoo yenu ipo daraja bovu inawasubiri. Mafiaso wanafanya mazoezi kwa Liverpool leo.
Kale katimu kilicheza na Southampton ndio kina kiwango cha hii Watford kwa nini Wenger alipanga timu ya mbwembwe?
Lakini Watford walishajua Arsenal hawawezi mpira wa msuli-mwili na zile bao za haraka ziliwatia kiwewe
Ramsey na yule jamaa anayelimia meno.
Hiki kinaitwa kipigo kitakatifu na sasa Arsenal mjiandae kwa msimu ujao, msimu huu umeisha leo.
Pengo Mizinga alisema hakuna namna ,wapigwe tu.
Ndoo mnaweza kupata,lakini kwa ubingwa hamjawa tayari.Mnacheza kiutani utani.
Kama unafuatilia michezo ya Arsenal, anapocheza yule meno kule nyuma Arsenal inakuwa mrenda-bamia.
Mtu moja tu Arsenal ndio alionekana ana uchungu wa kufungwa Alexis, na alikuwa hapati supply za uhakika na mapema kutoka nyuma, alikuwa anarudi nyuma kutafuta mipira mwenyewe.
Usijali, kuna daraja lina nyufa kule kwa mafiaso na tenda amepewa Wenger.
Sio vizuri kumsema mfiwa msibaniMustafi na karekod chake uchwara kamefikia mwisho leo nyambafuuu