Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Haswaaa! Watu wanaizungumzia Arsenal 24hrsArsenal ndiyo baba laoooo
Haswaaa! Watu wanaizungumzia Arsenal 24hrsArsenal ndiyo baba laoooo
Hao nisawa nawale wanaoshinda kijiweni huku wakipiga story za kulalamika uongozi uliopo haufaiHaswaaa! Watu wanaizungumzia Arsenal 24hrs
Bila shaka wewe umetumwaWewe Una fungal infection kwenye brain yako
We bila shaka utakua shabiki wa Mwantesa United unatafuta pakutolea stress za mtaa wa SITA.
Mwantesa United nisawa na kiumbe kisicho hai hakinauwezo wakusogea kutoka nafasi ya 6.
eti unasemaje mkuu?Tutapona kweli?Le prof kapigwa touchline ban kwa mechi 4 .. ..... .... ... . na £25,000.00 juu.
Game hizi atakuwa anachungulia ..... ..
Sat Jan 28: Southampton (FA Cup)
Tues Jan 31: Watford (Premier League)
Sat Feb 4: Chelsea (Premier League)
Sat Feb 11: Hull (Premier League)
Tutapona tu technology imekua sana atakuwa kwenye mawasiliano tu. Naona Granit kijasho chembamba kitamtoka.Tutapona kweli?
Tuki draw kesho, atarudi mechi ya hull cityLe prof kapigwa touchline ban kwa mechi 4 .. ..... .... ... . na £25,000.00 juu.
Game hizi atakuwa anachungulia ..... ..
Sat Jan 28: Southampton (FA Cup)
Tues Jan 31: Watford (Premier League)
Sat Feb 4: Chelsea (Premier League)
Sat Feb 11: Hull (Premier League)
Watarudi na Xhaka pamojaLe prof kapigwa touchline ban kwa mechi 4 .. ..... .... ... . na £25,000.00 juu.
Game hizi atakuwa anachungulia ..... ..
Sat Jan 28: Southampton (FA Cup)
Tues Jan 31: Watford (Premier League)
Sat Feb 4: Chelsea (Premier League)
Sat Feb 11: Hull (Premier League)
Wewe ni namba 6?Kithread uchwara hiki toka kwanza komenti buku tano
Hivi TAKUMA mmempeleka wapi
Kithread uchwara hiki toka kwanza komenti buku tano
Hivi TAKUMA mmempeleka wapi


Shida anaweza kuwa TV remote ikaendelea kufanya kazi tokea jukwaani![]()
Ok it's ya turn Steve Bould,unatakiwa uongoze jahazi kwa game 4 zinazofuata kuanzia leo simply sina shaka na uzoefu wako upo Arsenal kwa miaka lundo we (Arsenal) got ya back old man show us what u got.
For the brave nothing is difficult..COYG![]()
Shida anaweza kuwa TV remote ikaendelea kufanya kazi tokea jukwaani
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app


