Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 70
Soton 0-4 Arsenal
No doubt tunasonga mbele.
Iwobi anaingia kuchukua nafasi ya Adelaide.
 
Iwobi in for Adelaide ..... .. kijana huyu katulia sana amecheza vizuri pale katikati.
 
upload_2017-1-28_19-8-22.png


Prof yupo jukwaani anaangalia mtanange hapa ulipofikia 80mins.
 
84min Hat trick for Walcott, Alexis assist .... .... ... ..
 
87min Lucas missed on one to one with the keeper .. ... ... ..
 
Ok wakuu mpira umeisha ... ..... [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Timu ikishinda jukwaa linapooza, wacha mfungwe sasa! kila mtu breki ya kwanza kwenye thread yenu
 
Timu ikishinda jukwaa linapooza, wacha mfungwe sasa! kila mtu breki ya kwanza kwenye thread yenu

Haaaa haaa unadhani hawajapita hapa wanachungulia alafu inabidi wavunge wabaki na maumivu yao wanatafuta neno la kutunanga.
 
Naona wenger kawa mzuri sasa ivi. Siyo tena wenger must leave.......hahaaaaa binadamu tunajisahaaau haraka sana.
 
Back
Top Bottom