Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Marehemu mtarajiwa ni jirani yangu kabisa aisee. Yani tunaombana chumvi na sukari. Juzi tu nimempa kipa wangu...sijajua shida hasa ya jirani yangu huyu.

Ila asante bana msiba wa jirani msiba wangu...sisi ndo waafrika, kwenye shida na raha..
Kheeee kheee nimerudi kuomboleza mkuu,ila nawe umepona pona wale lipuli fc sio wa mchezo mchezo

Jaman msibani poleni naona bila dk 7 na penalty za offside hamchomoki
 
Hivi lile goli la Deeney kulifanya kama mlio wa kwenye simu, unabonyeza ngapi vile?
 
Niko hapa Mkuu hujaniona!? Nimenuna.
Kwa nini umenuna ? Mpira una matokeo aina 3.
Mimi ningekuwa Wenger ningeipa tena nafasi ile timu ilitoa kipigo cha 5-0 kujiridhisha kama ilikuwa bahati mbaya au waliamua kuonesha wako tayari kupigania nafasi kwenye timu.

Ukipambana na timu msuli-mwili unatakiwa kucheza fast pass na long balls na hili liliwashinda Arsenal.
Ukiangalia Mechi za Chelsea utaona kwa sasa wanacheza msuli,fast pass, wanatumia pembeni zaidi na kuhami watatu, wanne kwa pamoja. Mbinu hii imewasaidia sana msimu huu baada ya kipigo cha mwanzo cha 3-0.
Kufungwa na timu kama Chelsea, Tottenham, Man City, Man United, Liverpool hakushangazi lakini kufungwa na timu maiti ni kuwatengeneza Ngongo wengi.

Majogoo yamekataa leo kuwa kichwa cha mwendawazimu. Kwa hiyo Chelsea kaongeza pointi moja. mkiweza kumbamiza Jumamosi bado ligi itakuwa inaendelea.

Link Nimeacha kuishabikia Arsenal

Link2. Nimeamua kuachana na CHADEMA
 
Nimenuna kwa sababu najua mcheza kwao hutuzwa. Sikutegemea kabisa kama tutapoteza mechi ya leo pamoja na kujua mpira hudunda. Incostistency inatugharimu sana.

Kwa nini umenuna ? Mpira una matokeo aina 3.
Mimi ningekuwa Wenger ningeipa tena nafasi ile timu ilitoa kipigo cha 5-0 kujiridhisha kama ilikuwa bahati mbaya au waliamua kuonesha wako tayari kupigania nafasi kwenye timu.

Ukipambana na timu msuli-mwili unatakiwa kucheza fast pass na long balls na hili liliwashinda Arsenal.
Ukiangalia Mechi za Chelsea utaona kwa sasa wanacheza msuli,fast pass, wanatumia pembeni zaidi na kuhami watatu, wanne kwa pamoja. Mbinu hii imewasaidia sana msimu huu baada ya kipigo cha mwanzo cha 3-0.
Kufungwa na timu kama Chelsea, Tottenham, Man City, Man United, Liverpool hakushangazi lakini kufungwa na timu maiti ni kuwatengeneza Ngongo wengi.

Majogoo yamekataa leo kuwa kichwa cha mwendawazimu. Kwa hiyo Chelsea kaongeza pointi moja. mkiweza kumbamiza Jumamosi bado ligi itakuwa inaendelea.

Link Nimeacha kuishabikia Arsenal

Link2. Nimeamua kuachana na CHADEMA
 
Wewe subiri upakwe mafuta J1. Uwezo wanao, nia wanayo na ghadhabu/hasira wanazo!!!!!
Sawa tutakuwa tunasubiria...halafu ni kwetu.

Khe khe khe khe kheeeeeeeee ngoja nianze mazoezi ya kucheka
 
Wewe subiri upakwe mafuta J1. Uwezo wanao, nia wanayo na ghadhabu/hasira wanazo!!!!!
Nonda umekua mchambuzi wa mpira au mchafuzi wa hari ya hewa
Kwa nini umenuna ? Mpira una matokeo aina 3.
Mimi ningekuwa Wenger ningeipa tena nafasi ile timu ilitoa kipigo cha 5-0 kujiridhisha kama ilikuwa bahati mbaya au waliamua kuonesha wako tayari kupigania nafasi kwenye timu.

Ukipambana na timu msuli-mwili unatakiwa kucheza fast pass na long balls na hili liliwashinda Arsenal.
Ukiangalia Mechi za Chelsea utaona kwa sasa wanacheza msuli,fast pass, wanatumia pembeni zaidi na kuhami watatu, wanne kwa pamoja. Mbinu hii imewasaidia sana msimu huu baada ya kipigo cha mwanzo cha 3-0.
Kufungwa na timu kama Chelsea, Tottenham, Man City, Man United, Liverpool hakushangazi lakini kufungwa na timu maiti ni kuwatengeneza Ngongo wengi.

Majogoo yamekataa leo kuwa kichwa cha mwendawazimu. Kwa hiyo Chelsea kaongeza pointi moja. mkiweza kumbamiza Jumamosi bado ligi itakuwa inaendelea.

Link Nimeacha kuishabikia Arsenal

Link2. Nimeamua kuachana na CHADEMA
 
2651.jpg

Troy Deeney, second left, slots his shot past Arsenal’s Petr Cech to score Watford’s second goal.
 
2938.jpg

Younes Kaboul is mobbed by teammates after opening the scoring for Watford.
 
Back
Top Bottom