Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika zimekwenda 30 na Arsenal bado hawajaweza kuifungua ngome imara ya Swansea City ambayo inapigana kufa na kupona.
 
GOLI!
242e5809-6366-4646-b401-e37d03700914_s.png


Girouuuuuuuuuuud

Swansea 0 Arsenal 1

Alexis Sanchez anapiga mpira wa juu ambao unamkuta Ozila ambae anamdondoshea Olivier Giroud ambae anamalizia kazi kwa kugunga goli la kwanza kwa Arsenal katika dakika ya 37.
 
Halftime .... ...... 0 - 1 ; Swans walikuwa wanalilia pen, refa katoa uamuzi sahihi hasa ukiangalia slow motion .... ..... ...
 
HT
Swansea 0-1 Arsenal
Tuko slow sana tunahitaji ku-press hard hii ni must win game aiseeeee.
 
Kipindi cha pili kimeanza na Arsenal wanacheza kwa umakini.

Wanashambulia kwa malengo zaidi.
 
Kona kwa Arsenal na inaokolewa.

Inarudi tena langoni mwa Swansea.

GOLI!
242e5809-6366-4646-b401-e37d03700914_s.png


Fabianskiiiiiii own goal Swansea 0 Arsenal 2

Alex Iwobi anambabatiza Lucas Fabiansi na anajifunga.
 
67min .... ... 3 up ..... ..... . second half Gunners turned up.
 
Back
Top Bottom