BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Pamoja vijana walitaka waje emirate lakini OG kawakatiliAhsante sana Mkuu 🙂🙂🙂
Pamoja vijana walitaka waje emirate lakini OG kawakatili
hongereni sana.View attachment 456573
Arsenal's Instagram boasted 'squad goals' alongside
a snap of the new Emirates-owned Airbus A380
View attachment 456575
Entertainment systems in the luxurious seats boast 2,500 TV and radio channels
View attachment 456576 View attachment 456577
Mesut Ozil (left) and former Barcelona defender Hector Bellerin
also make the cut on the plane's fuselage
View attachment 456578
There is also a 'shower spa' on the plane, where travellers will be able to freshen up; beds for all the players and a fully functioning bar where they can relax
[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
wewe wako na nafasi ya 5 sasa hivi na hatujui kama hiyo ya 4 watarudi tena, ngoja tuone.Wazee wa position ya 4 na FA cup mpo?a.k.a wazee wa Bayern Munichen UEFA
Huko England team yng ninayosupport ni no 1 sio kwa bahati mbayawewe wako na nafasi ya 5 sasa hivi na hatujui kama hiyo ya 4 watarudi tena, ngoja tuone.
Huyu kijana ndio anakuja kuisaidia Arsenal kutwaa "ndoo"?
Hivi yule holding kashikiriwa wapi mbona simuoniHuyu kijana ndio anakuja kuisaidia Arsenal kutwaa "ndoo"?
Ile "ndoo" waliyoitwaa Chelsea msimu uliopita?
Wenger anafanya utani wa kiwango cha almasi.
Link Cohen Bramall: Arsenal sign non-league left-back
Huyu kijana ndio anakuja kuisaidia Arsenal kutwaa "ndoo"?
Ile "ndoo" waliyoitwaa Chelsea msimu uliopita?
Wenger anafanya utani wa kiwango cha almasi.
Link Cohen Bramall: Arsenal sign non-league left-back
Hector ametwaa "ndoo"?Hector nae alikuja kama uyu ila sasa ivi tunaongea mengine.

Prof. Wenger ameamua kuwanusisha upepo wanandoto wa nafasi ya 4.![]()
Frech trio wame extend mikataba yao(long-term contract) Arsenal itaendelea kupata huduma yao kwa muda mrefu,amebaki kubwa la maadui ambae amesimama nyuma yao![]()