What a selfish player!! Yaani timu ipo 4-0, na bado dakika chache mpira uishe, yeye kutolewa anawaza kushindana ufungaji bora?!? Kipi cha muhimu kwenu washabiki wa Gooners kuwa na mfungaji bora ama kushindania ubingwa?Alexis hajafurahia sub! anataka kufunga magoli mengi kukimbizana na Costa
Hongereni naona mnaendeleza mipango ya kuhakikisha kuwa watu hawaendi cardiff city mwakani![]()
And the ball deflects off of Jack Cork and goes up and over Fabienski and into the net.
Hongereni naona mnaendeleza mipango ya kuhakikisha kuwa watu hawaendi cardiff city mwakani
Habar njema![]()
Kishada kimerudi na kitakuwepo j2 kama kawa.