Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2017-01-14-17-09-11.png
Screenshot_2017-01-14-17-09-24.png
 
Ha haaaa..nikiangalia hiki kikosi na squad ya totenham napata wasiwasi ipi ni timu kubwa zaidi nyingine
 
Swansea hawataki shuka daraja "be scared"-leo mtashikwa pabaya.
 
Swansea City Vs Arsenalk uwanja wa Liberty mjini Swansea nchini Wales ndani ya falme ya Uingereza.

JS117831735_Rex-swansea-stadium-large_trans_NvBQzQNjv4BqJYhtZYR_IkrQ0_9MJvNBcBe4Ljg4PdeONRTLlf1TL1c.jpg
 
Walikuwa wanasumbuana na totham nafasi ya nne..mwenzao kashinda 4-0 yuko zake nafasi ya pili hataki ujinga. Nyie subirini kagoli kenu ka ushindi kaGoroud dakika ya 90
 
Wakuu mpo leo Mesut Ozil anarudi katika kikosi na Olivier Giroud nae anapewa nafasi ya kuanza game, wakati Danny Welbeck anaanza kwenye bench.

Gabby anakwenda kucheza nafasi ya Hector Bellerin upande wa kulia.

Team news.
Swansea

Fabianski, Naughton, Fernandez, Mawson, Kingsley, Ki, Dyer, Cork, Routledge, Sigurdsson, wakati Llorente ndiey anakuwa mshambuliaji wa mbele.

Arsenal

Cech, Gabriel, Mustafi, Koscielny, Monreal, Ozil, Xhaka, Ramsey, Iwobi, Sanchez, na Giroud.

Mwamuzi wa mchezo ni Mike Jones.

Jones si mwamuzi wa kimataifa lakini yumo katika jopo la waamuzi wa ligi zote kubwa za Uingereza.
 
upload_2017-1-14_14-22-1.png


Alexis Sanchez and Mesut Ozil put their current contract
wrangles to one side at the O2 Arena


upload_2017-1-14_14-22-59.png


Sanchez is yet to commit his long-term future to the club
and showed his passion for the NBA


upload_2017-1-14_14-23-54.png


Ozil looked relaxed as he sat courtside at
the NBA International Series game in London


upload_2017-1-14_14-24-41.png


The star duo were joined by their Arsenal team-mates
as Denver picked up a blowout win


upload_2017-1-14_14-25-42.png


Henry alikuwepo .....

upload_2017-1-14_14-26-30.png


Mambo ya O2 Arena hayo jana .... ... .. .. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
JS117836183_AFP-paul-clement-large_trans_NvBQzQNjv4BqqVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwdfGV7uQgC_lSSFd6DD9K3M.jpg

Paul Clement ndiye meneja mpya wa timu ya Swansea akiingia uwanjani na atakuwa akisaidiwa na Claude Makelele ambae waliwahi kuwa pamoja katika timu ya Chelsea.

Kwa kuwa tunakumbuka uchezaji wa Makelele pale katikati, basi tunafahamu upangaji wa Swansea utakavyokuwa leo.

Ila Arsenal hawapaswi kutembea uwanjani tena leo kama walivyofanya dhidi ya Bournemouth.
 
Mtanange utakuwa mkali baada ya vijana ku-chill out jana pale O2 Arena. Lala salama ndio hiyo tena, whoever plays best the last 18 games wins the race. All the best to all Gunners .... ... ...[HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Walikuwa wanasumbuana na totham nafasi ya nne..mwenzao kashinda 4-0 yuko zake nafasi ya pili hataki ujinga. Nyie subirini kagoli kenu ka ushindi kaGoroud dakika ya 90
Hayatuhusu ... ....
 
Walikuwa wanasumbuana na totham nafasi ya nne..mwenzao kashinda 4-0 yuko zake nafasi ya pili hataki ujinga. Nyie subirini kagoli kenu ka ushindi kaGoroud dakika ya 90

Hakuna tatizo Arsenal wanafamu wapi pa kumfunga Fabianski.
 
8min Swans 0 - 0 Gunners

11min Swans wameanza kwa nguvu kubwa, Check ana-save hapa carner .. ... . brings nothing.

17min Swans corner ..... .... .. Gunners on back foot ...... ...

Mvua inanyesha sasa, kazi ipo leo .... .. . Gunners are not moving the ball fast enough .... ..... ......

19min Gunners corner .... .. nothing out of it.
 
Dakika inakwenda ya 7 goli ni 0-0

Swansea wameanza na kumtumia Fernando Lorente kule mbele na Arsenal bado wanapasha moto wa mchezo.
 
Kona inapanguliwa na ngome ya Arsenal na goli bado ni 0-0

Dakika inakwenda ya 12
 
Back
Top Bottom