Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatutaki ujirani na MANU siye tuko hapo kwa muda tu kabla ya kuchukua nafasi yetu ya juu yenu.
ndiyo ujirani hata wa masaa, na mmeshakuwa sasa na ikiwezekana tutawapisha nafasi yetu ya 6 napo mkae kidogo.
 
Bila kumchomoa Wenger a.k.a Mr Bean tutazidi kwenda chini. Na huu msimu tutaishia kucheza kombe la watoto!!!!
 
Hahahahaha lol! Utaona speed yetu Mkuu kuanzia January 14 tutatisha sana majeruhi tu ndiyo yanayoweza kupunguza speed yetu.

Maumivu ya kichwa huanza polepole mpango wetu ni kuanza kukushusha kisha tunawafuata tot na city
 
e9b3cbad0137b0f51523d3ae14095d9d.jpg

Congrat's kiddo.
 
Hahahahaha lol! Utaona speed yetu Mkuu kuanzia January 14 tutatisha sana majeruhi tu ndiyo yanayoweza kupunguza speed yetu.
Mkae vizuri sisi break zimekatika halafu kuna hali ya timu kuanza kutukhofia hapo ni mtaji kwetu ila kila la kheri hii January
 
  • Thanks
Reactions: BAK
upload_2017-1-6_21-29-16.png


Bramall joined in a £40,000 deal from non-league Hednesford Town,
who play in the eighth tier of English football,
the only piece of business of the January transfer window.

Safi sana Prof.
 
Back
Top Bottom