
Timu nzuri imefungwa khe khe khe kheeeeeeeee. Wacha 1 buana.Wacha kujipendekeza pendeza timu yako mbovu subiri majuto mjukuu khe ke kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mechi yetu saa kumi njoouone magoli tutakayomzibua nayo Pepsi ... .... . he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sawa tuwasubiri Bristol CityTumepoteza mechi ya leo, wachezaji wengi hawakuwa up to the game, City walikuwa more aggresive na kusaidiwa zaidi na mwamuzi. Tutawasubiri wakija Emirates. It wasn't a good game for us. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]

It wasnt offside. The line showed clearly the scorer was level with the far side defender.
Poleni wapendwa. Wacha 1 lete kile kicheko chako khe khe kheeeee
Mechi itarudiwa. Man City wameweka mamluki.
Pole Honey ......Ndiyo matatizo ya kufunga kagoli kamoja na kuamua kukalinda wakati bado kuna muda chungu nzima badala ya kutafuta nafasi zaidi ya kuongeza goli/magoli mengine.
Poleee best angu....Tumepoteza mechi ya leo, wachezaji wengi hawakuwa up to the game, City walikuwa more aggresive na kusaidiwa zaidi na mwamuzi. Tutawasubiri wakija Emirates. It wasn't a good game for us. [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
Arsenal inaelekea nafasi yake taratibu.