Hii Habari ya arsenal kufungwa ipuuzieni ni Habari chonganishi na hakuna ushahidi wowote maana wengi wetu hatujashuhudia hivyo basi all gunner's timu yenu iko imara kuchukua kikombe cha kunywea chai lakini

Mafanikio ya mpira siku zote lazima uambatane na pesa huoni mfano wa Man United mzee faggie alitumia m-pesa kwa marefaree kuchukua ubingwa mfurulizo, ukiwa bahili huwezi chukua ubingwa labda uwashtukie kama alivyofanya Lester city!
Kweli majukwaa yanatofautiana wakati wengine wakifurahi kujilimbikizia point 3 muhimu humu ndani wanafurahi OG kaongeza mkataba." Njia pekee ya arsenal kupata kikombe ni kukiiba"