Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ikitokea hivyo naona tutakaa tena kileleni walau kwa masaa 24 ina raha yake ebo. Prof anajisifu kwa kuwa timu pekee iloyofunga magoli mengi mpaka sasa
Arsenal na chelsea nani anamagoli mengi mkuu
 
Bayern Vs arsenal was Something COMING all over

Cheki hii tweet last week baada ya Arsenal kuwachapa Basel 4-1

Screenshot_2016-12-12-14-55-29.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Lol wanasema hatuogopi timu yoyote, hakuna kipya tusichokijua meaning tumezowea kutolewa katika hii stage au sio ? In other words hatupo concerned na itakavyotokeaMcDonaldJr
 
Lol wanasema hatuogopi timu yoyote, hakuna kipya tusichokijua meaning tumezowea kutolewa katika hii stage au sio ? In other words hatupo concerned na itakavyotokeaMcDonaldJr

Huwezi kuogopa maana UCL lazima uwafunge hao ili ubebe kombe hamna FAIRTALE

2006 tulifika fainali kwa

kuwatoa REAL MADRID kwenye ROUND OF 16
Kuwatoa JUVENTUS kwenye ROBO FAINALI

kuwatoa VILARREAL kwenye NUSU FAINALI

kucheza na BARCA fainali

hamna point ya kuogopa so song as uko UCL you have to beat STRONG teams au vipi UTOKE
 
A frustrated Arsenal fan on Twitter -

"We go 2nd, We get Bayern.
We top the group, We get Bayern.

I swear if we drop to Europa League, they'll still come there as well."
 
Huwezi kuogopa maana UCL lazima uwafunge hao ili ubebe kombe hamna FAIRTALE

2006 tulifika fainali kwa

kuwatoa REAL MADRID kwenye ROUND OF 16
Kuwatoa JUVENTUS kwenye ROBO FAINALI

kuwatoa VILARREAL kwenye NUSU FAINALI

kucheza na BARCA fainali

hamna point ya kuogopa so song as uko UCL you have to beat STRONG teams au vipi UTOKE
Baeleze hawa jamaa wa kucheza kila Ali Hamisi khe khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
upload_2016-12-12_19-48-59.png

Robert Pires alikuwepo Colney leo kuwaangalia wachezaji wa Gunners wakifanya mazoezi tayari kwa mtanange wa kesho na Everton away game.

upload_2016-12-12_19-50-40.png

OG, Lucas na Monreal ... ..

upload_2016-12-12_19-51-16.png

The players were in high spirit
 
Back
Top Bottom