Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafuuu ni kwamba nawaona Xhaka na Coquelin wote uwanjani au?

Kama ndiyo basi hii mechi ni draw au mnafungwa. Mmoja wao lazima asepe na red hapa.
 
2808.jpg

Stoke City’s Charlie Adam strokes home the penalty.
 
Dahh ila kipa wetu cech mzuri tu kwenye matukio ya move, ila kwenye penalty ni kimeo sana, tangu msimu huu uanze ye penalty anafungwa tu tena ata bora angekuwa anazifata bali anaamishwa kabisa, Kweny game za uefa huko mbele mambo yakitokea kukawa na upigaji wa penalty basi itabidi wenger amkumbuke ospina
 
upo sahihi mkuu,cech anazingua sana kweny penalt!
 
Nilikuwa nasubiri tu ujibu na ulivyoandika ndivyo nilivyotaka kuandika kama ukijibu. Ni kweli kabisa wewe ni mshabiki mzuri sana kusema kweli unaongeza uhai sana huku na kuleta furaha kubwa kwa mashabiki mbali mbali wa kandanda hapa jamvini ikiwemo wale wa timu yako na zile za maadui. Najua ukitoa hongera huwa inatoka moyoni mwako haina hata doa moja ahsante sana. Ngoja tumalizie ngwe ya pili hizi point tatu za leo ni muhimu sana. Tufunge angalau goli mbili nyingine au tatu ili tuweze kupumua kwa amani.

Unanijua vizuri sinaga hila, penye kusifia nasifia penye kuponda naponda........
 
Nilikuwa nasubiri tu ujibu na ulivyoandika ndivyo nilivyotaka kuandika kama ukijibu. Ni kweli kabisa wewe ni mshabiki mzuri sana kusema kweli unaongeza uhai sana huku na kuleta furaha kubwa kwa mashabiki mbali mbali wa kandanda hapa jamvini ikiwemo wale wa timu yako na zile za maadui. Najua ukitoa hongera huwa inatoka moyoni mwako haina hata doa moja ahsante sana. Ngoja tumalizie ngwe ya pili hizi point tatu za leo ni muhimu sana. Tufunge angalau goli mbili nyingine au tatu ili tuweze kupumua kwa amani.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom