

Tungoje taarifa ya team pengine hajaumia kiasi cha kuwa njeTatizo kukosekana kwa Mustafi kunaweza kutuletea shida kipindi hiki cha holiday games.
Mwaka huu nitakukoma!!!!
Mwaka huu nitakukoma!!!!
Hongereni sana ....leo naona England ni siku ya tatu tatu...... eeeehhhh ngoja niende kule Mancity Leicester wanafanya maajabu kule!!!
Usinikumbushe machunguHapana banaa pamoja na kuwa siwapendi but I miss MANU too, the old MANU. Nilikuwa napenda sana kuangalia mechi zenu na ili kuona entertaining football na mlivyokuwa mkihaha kutafuta goli ama la kusawazisha ama la ushindi. Hii MANU ya sasa midabwada tu. Siku hizi mechi zenu 15 minutes tu nimeshaboreka uchezaji wenu hauna mvuto kama miaka ya nyuma.

Japo hutupendi niombee heri basi!!!Leicester anafufukia kwa Man City leo na hakika mpaka wale wahuni wawili wamalize adhabu mnaweza kuwakuta.
Japo hutupendi niombee heri basi!!!
Hahahhaha swahiba sisi sote wamoja yaani mimi silali kila siku tarumbeta kwamba UEFA na EPL mnagonga zoteSwahiba tatizo ukifufuka vurumai zenu ni tatizo kuanzia mtaani mpaka ofisini.
........ ila mtani wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie!!!.... kelele muhimuuuu

Hahahhaha swahiba sisi sote wamoja yaani mimi silali kila siku tarumbeta kwamba UEFA na EPL mnagonga zote![]()
![]()
........ ila mtani wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie!!!.... kelele muhimuuuu
![]()
![]()