Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I like the confidence lakini rekodi yetu inatuonyesha tupo hovyo vs some teams in the round of 16. Tuombe Mungu tukwepe baadhi ya timu hizo. I can take Leverkusen, Benfica ,Porto maybe Sevilla right now. Hata hivyo sio guarantee kuwa tutakwenda QF...
So now ni record kaka unafail
 
Leo kimekuwa kikombe cha mbuzi. Bora ungenyamza tu kuliko kujiaibisha kaka.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Wivu utakuua mimi nione aibu kwa jina la bandia khe khe kh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Ati unajiita pablo mtakoma mwaka huu na Wenger haendi kokote, nafahamu moyo unakuuma, wewe endelea kucheza kila Ali Hamisi au sintofahamu, mziki wetu mnauona na ndio chanzo cha wivu wa kike khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Prof hawezi kuchukua Kikombe cha Mbuzi hilo ameapa hadi atakapoamua kubwaga manyanga khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. sana sana atalitumia kuwachzesha vijana wakomae na ushindani.
 
scaletowidth
 
Real Madrid 2-0 Dortmund. Kuna uwezekano tukawapata Dortmund
Porto 3-0 Leicester Kuna uwezekano tukawapata Porto
Leverkusen 2-0 Monaco kuna uwezekano tukawapata Leverkusen
See you next week
 
upload_2016-12-7_21-17-46.png

622eb30a146ad9e53d78f9570298b126_normal.png
OptaJoe

@OptaJoe

33 - There were 33 passes before Lucas Perez's second goal v Basel, no goal in the @ChampionsLeague has seen more passes this season.
 
Chief tatizo lako ni nini recently kama sielewi unawaza nini?

Look it at a deeper picture. Realistically, Arsenal chances to beat either Real Madrid or Bayern Munich are slimmer to none. Tunaweza kujidanganya kwa unazi kuwa hatuogopi tutakayepangiwa lakini ukweli ndio huo. Ndio maana timu inakazania kumaliza at top spot ili ipate an easier draw. Last 7 UCL seasons Arsenal waliprogress out of last 16 mara moja na ilikuwa vs Porto season ya 2008/2009. Misimu mingine tulitolewa na Bayern Munich(mara 2), Barcelona(mara 2), Borussia Dortmund (Not sure) na Monaco. Kitu kimoja ambacho hapa JF na hasa wapenzi wa mpira wa kiafrika tupo kiunazi zaidi huwezi kukuta mtu(me included) anakuwa critical juu ya timu yake inapofanya vibaya tunatafuta visingizio vinavyotuliwaza. Na huu ndio ukweli.
 
We jamaa uko reasonable kishenz yaan
Big up
 
1.Draw bado ila ushaanza kuogopa kuhusu nani unakutana nae huu uoga kiwango cha lami.
2.Arsenal acha tukutane na timu yoyote hakuna jipya ambalo hatulijui kwenye UCL tushacheza na miamba kibao.
3.Hatujawahi kuchukua ndoo ya UCL na mafanikio yetu ni final tu kwenye mashindano ya UCL tangu na tangu labda kama una jipya ambalo sisi hatulijui.
4.Ukiona hauna imani na Arsenal kipindi hiki sogea Madrid jamaa wana mafanikio kuliko timu nyingine UCL.
5.We're GOONERS leo,kesho na milele na hatujawahi kua waoga kabisa na hizi nadharia zenu hazijawahi kutufanya wanyonge.
6.Mimi ni mfuasi wa SOKA na Arsenal ni dini yangu.
 
Correction Haikuwa Borussia Dortmund tuliondolewa na AC Milan 2011/2012 season...
 
Tushachoka kutajiwa hizo timu zenu bring 'em on hata waje wooooote tutabaki kua Arsenal na hata kama tukiishia 16 bora tutabaki kua Arsenal
 
1.Draw bado ila ushaanza kuogopa kuhusu nani unakutana nae huu uoga kiwango cha lami.
2.Arsenal acha tukutane na timu yoyote hakuna jipya ambalo hatulijui kwenye UCL tushacheza na miamba kibao.
3.Hatujawahi kuchukua ndoo ya UCL na mafanikio yetu ni final tu kwenye mashindano ya UCL tangu na tangu labda kama una jipya ambalo sisi hatulijui.
4.Ukiona hauna imani na Arsenal kipindi hiki sogea Madrid jamaa wana mafanikio kuliko timu nyingine UCL.
5.We're GOONERS leo,kesho na milele na hatujawahi kua waoga kabisa na hizi nadharia zenu hazijawahi kutufanya wanyonge.
6.Mimi ni mfuasi wa SOKA na Arsenal ni dini yangu.

Hiki ndicho nachosema. Ushabiki wa kinazi bila kuangalia reality ilivyo. Ndio tumeshacheza muda mrefu katika haya mashindano. Lakini ukweli utabakia hapa kuwa ni vizuri kukwepa baadhi ya timu (kali kuliko sisi) katika mashindano haya, hiyo ndiyo inayoitwa LUCK unayotakiwa kupata. Kusema kuwa hatuogopi kukutana na timu yoyote then unatolewa katika ngazi hiyo hiyo misimu nenda rudi sio Kweli na ni kujidanganya. Kuwa critical sio uoga, sio kuwa disloyal kwa timu yako...
 
Inawezekana wakati Arsenal inabeba hata EPL haukuwepo ndio maana una mapokeo hasi kuhusu hii timu ila mimi nilikuwepo na nakuhakikishia sijawahi kujutia kuipenda Arsenal bila kujali matokeo ni kichaa kuanza kuogopa kuhusu timu ambayo tunakutana nao as if sisi tuna viwete tupu.
Bro' sisi ni Arsenal bila kujali hizo imani zenu za nani yuko mbele yetu hata AW kasema hili.
8924092881068f81bb79cb47e21355a7.jpg
 
Tungemaliza wa 2 naamini plastic fans wangekuja hapa na lawama lundo kwa AW kua tunatafuta balaa wenyewe ila leo tumemaliza juu ya kundi wanakuja tena kua tulitakiwa kuwakimbia akina fulani duh aya maisha bila unafiki hayaendi.
I'M GOONER.
 
Back
Top Bottom