Arsenal finish at 2nd or not.........
Navyowajua Arsenal watadhani round of 16 ni easy cake then watatolewa kama ilivyokuwa last season vs Monaco
duh...haki wewe ni shida
okay we have topped it
Duh.....!
LOL round of 16 tunaweza kupangia vs R.Madrid/Borussia Dortmund, Juventus/Sevilla, Bayern Munich, Leverkusen or Benfica moto bado upo pale pale kwa maoni yangu.
Wakumuhofia hapo baryen tu, wengine hamna kituLOL round of 16 tunaweza kupangia vs R.Madrid/Borussia Dortmund, Juventus/Sevilla, Bayern Munich, Leverkusen or Benfica moto bado upo pale pale kwa maoni yangu.
Kuna uwezekano tukaenda ureno huko lisbon mkuuLOL round of 16 tunaweza kupangia vs R.Madrid/Borussia Dortmund, Juventus/Sevilla, Bayern Munich, Leverkusen or Benfica moto bado upo pale pale kwa maoni yangu.
Bring 'em sisi ni Arsenal we aint scared maana hata tungemaliza wa pili lazima tungepata wapinzani tu ishu ni kukomaa 16 bora.
Aisee hahahaaa sisi kwenye hayo mashindano hatupo, inakuaje mnawazia timu ambayo sio opponent wako kwenye mashindano, hahahaaaHaaaa haaaa ila w'end wanatulizwa tena simply watafurahi siku 2 tu.
I like the confidence lakini rekodi yetu inatuonyesha tupo hovyo vs some teams in the round of 16. Tuombe Mungu tukwepe baadhi ya timu hizo. I can take Leverkusen, Benfica ,Porto maybe Sevilla right now. Hata hivyo sio guarantee kuwa tutakwenda QF...