McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Aisee hahahaaa sisi kwenye hayo mashindano hatupo, inakuaje mnawazia timu ambayo sio opponent wako kwenye mashindano, hahahaaa
BTW hongereni kwa kutop the table
Asante sana bro' ila umepotea sana mtaani,kuna swahiba kasema alhamisi mkimgonga LORIA FC mtatusumbua sana nikamuambia kua w'end mna kidonda na Chickens wa London.