Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hongereni sana wana Arsenal wenzangu...Refa kaharibu kabisa ladha ya mpira leo,tungewachapa mengi sana hawa..Namsifu sana Arsene kwa kutochachawa na ile red card(angekuwa kocha mwingine angekimblia kufanya sub),Alex kacheza vizuri pale mkoba,pia Sol...Wachezaji inabidi wawe wanajaribu kufunga kwa mbali kama anavyofanya Denilson,Fabregas na Eboue...Abou Diaby kachangamka sana siku hizi,anacheza mpira wa kasi sana,safi sana....

Hongera za pekee zimuendee Manuel kwa kuokoa penati(tungefungwa penati ile mambo yangeweza haribika zaidi) hali iliyowafanya wachezaji wajiamini na hatimaye kutafuta na kulipata goli la pili....Tukeshe tukiwaombea Liverpool wamchape Manure hiyo kesho...Go Arsenal go.....(Hahaaaaaaaaa,kuna watu hawapendi kabisa kuona tukishinda,wananuna haoo,waangalie kule.....wivu tu....lol)
 
Wacha tujipongeze. Yes there is Love in this club 😉. Wacha! uko wapi na mapicha yako
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=dZql1_vuVGo&feature=related"]YouTube- Usher ft. Young Jeezy - Love in This Club *OFFICIAL VIDEO*[/ame]
 
Hapa naona kumeshadoda, ngojea niende zangu kwenye ligi ngumu kuliko zote duniani..
 
Hebu wataalam wenzangu wa arsnl nielimishen hapa.
Huyu vamalin atatakiwa kuwa nje mech 2 au 3 za ligi?
Na asipo-appeal wana ongeza mechi moja kati ya hizo 2 au 3 sio? Remember it was a straight red!
 
wakuu wa emirates msisahau kuwaombea liverpool kesho washinde kwenye dua zenu za kila siku.

Hahahahahaha Naam kesho wote tutakuwa L`pool maana kama wataweza kumchapa mtu kwao basi njia yetu ya kuelekea kileleni itazidi kusafishika 🙂
 
BTW tumebakisha mechi hizi:

BIRMINGHAM
WOLVES
SPURS
WIGAN
MAN CITY
BLACKBURN
FULHAM
 
ndio ulichokuwa unasubiri but we will make it.

Achana naye huyo,yeye kila wakati anawza na kuomba baya kwa Arsenal....Thank God kila baya analotuombea halitoke(na kamwe halitatokea)....Sisi tunaendelea mbeeeeeeeeele...Hahaaaaaaaa
 
Eboue leo alikuwa active sana ila mimi still bado namkubali sana huyu kijana Song aisee anauweza huyu mtu bana
 
Hebu wataalam wenzangu wa arsnl nielimishen hapa.
Huyu vamalin atatakiwa kuwa nje mech 2 au 3 za ligi?
Na asipo-appeal wana ongeza mechi moja kati ya hizo 2 au 3 sio? Remember it was a straight red!

..kwa ilivyo sasa moja kwa moja anakosa mechi moja ijayo, panel watapitia na kuona kama anastahili kuongezewa adhabu, inaweza kuongezwa mpaka mechi 3, hiyo itatokana na ukubwa wa kosa, kadri ya watakaopitia!!
 
01_denilson_682x40_1009359a.jpg

TEN-MAN Arsenal edged out West Ham to go top of the Premier League.

Denilson-Arsenal-Premier-League3_2433631.jpg

..and finds the bottom right corner, leaving Robert Green with no chance.

Denilson-Arsenal-Premier-League2_2433585.jpg

The Brazilian midfielder wheels away after scoring the opening goal.
 
Thomas-Vermaelen-Arsenal-Premier-League_2433635.jpg

Thomas Vermaelen is sent-off just before half-time for bringing Franco down
in the area. Penalty to West Ham!

Manuel-Almunia-Diamanti-Arsenal-West-Ham-Prem_2433638.jpg

Diamanti steps up to take the spot kick but is denied by Manuel Almunia.

Matthew-Upson-Arsenal-Premier-League-PA_2433654.jpg

Former Gunner Matthew Upson receives a yellow card for a foul on Eboue.

article-999-08CD1561000005DC-259_482x449.jpg

Pamoja na mbinu chafu za wapinzani wetu kununua marefa
mwaka huu bado tuna kazi moja tu

Come on Gunners ... ...
 
bring on barcelona,in order to be the champion u have to beat the best teams.so comon barca bring it on.

Hiyo ndio hasa You need to meet the best and win .....

Oyaa hizi excuse za refa zinatoaka wapi? Kwani ile ya Lehman haikuwa faulo?

Kwani hufahamu marefa nao ni washabiki wa timu?

asante refa naona umeona mechi 7 kufikia ubingwa karibu sanaa.umetuondolea beki wetu tutafika tu.

yatatokea mengi kwenye hizi mechi za mwisho ngoja tusubiri tuone

A bit harsh sending off kwa Vermalen...
Poor decision i think.

At keast unakubaliana na hilo ... ..... Huyu refa ni mshabiki au amepewa fweza.

wakuu wa emirates msisahau kuwaombea liverpool kesho washinde kwenye dua zenu za kila siku.

Kha kha wenzako Manure tayari wameanza kulia kimanga.

Hapa naona kumeshadoda, ngojea niende zangu kwenye ligi ngumu kuliko zote duniani..

Matarajio yako yote ulilala ukafikiri kwamba West Ham watashinda? Karibu sana na pole kwa safari.

Counting seven matches to go ....
 
Hiyo ndio hasa You need to meet the best and win .....

Kwani hufahamu marefa nao ni washabiki wa timu?

yatatokea mengi kwenye hizi mechi za mwisho ngoja tusubiri tuone

At keast unakubaliana na hilo ... ..... Huyu refa ni mshabiki au amepewa fweza.

Kha kha wenzako Manure tayari wameanza kulia kimanga.

Matarajio yako yote ulilala ukafikiri kwamba West Ham watashinda? Karibu sana na pole kwa safari.

Counting seven matches to go ....
mkuu ulikuwa uwanjani nini? asante sana kwa picha.
 
Achana naye huyo,yeye kila wakati anawza na kuomba baya kwa Arsenal....Thank God kila baya analotuombea halitoke(na kamwe halitatokea)....Sisi tunaendelea mbeeeeeeeeele...Hahaaaaaaaa
nimerudi sasa ilibidi niende kununua bia na sasa naanza kuchoma nyama manake mambo si mabaya lol.
 
Back
Top Bottom