Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu Liverpool ya Klopp siyo ile ya mtu mmoja aliyoijenga Benitez ama ya watu wawili alioijenga Rodgers.

Liver ya sasa hivi inahubiri teamwork, ndio maana wapinzani wanashindwa kuamua wamkabe nani maana kila mchezaji anaweza kubadili matokeo/mwelekeo wa game.

Raha sana kuona Timu inacheza kwa pamoja bila kumtegemea mtu mmoja.....Siku hizi ushindi ni utamaduni wa Liverpool.
Hongereni kwa ushindi hii leo Looserfools
 
Ujinga huo wa kujifariji huwezi kuukuta kule chelsea.. wakiboronga inabidi ukweli usemwe. kama chafu sema chafu sio eti imechafuka kidogo..
Mkuu kama wewe unafahamu mpira zaidi ya Prof usingekuwa unagangaa njaa hapa JF. We drew the match in particular with the circumstances and we managed 1 point, then unaongelea pumba. Maybe its about time usishabikie Arsenal kama wewe ni mshabiki wake au unaleta umbeya tu si ubaki huko huko Chelsick khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Sports is a difficulty game and any sportsmen/women will tell you how difficult it is to get results. I am happy at the moment of what we have achieved, if I say otherwise I will not be doing justice to myself. Ni hayawani tu au mwenye kichaa ndio atasema hivyo. BTW which Chelsick? Hawa wanaocheza Ali Hamisi? Wasipotoa rupia hawashindi! Phew what a yak?
 
Kwanini mzee alimchezesha Chamberlain mwishoni? Tulipotea kiungo mapema sana yule mohamed elneny alionekana kupotea mapema sana yet babu hakuresponce mapema

Wings ziliitajika kutumika mapema mno lakin hatukua na rapid responce mambo yalivyoenda kombo

Tulishindwa kutumia ubovu wa LBD ambao ulikuja kuzaa matunda baadae japo mou alifanya sub

Kiukweli mipango ya mzee sometimes bana daa

All in all poor perfomance.
 
Do you think you can do better than him?
 
When things went wrong hapa ndio jukwaani kwetu is it a crime?.Wacha1 ??
There is no crime but some of the comments leaves much to be desired. There is no team which has won all 38 games. Today's match we drew and every Tom, Dick and Harry has taken his bango about le prof .... you need to grow up. Yes players did not play well today, so what? That can happen and you need to accept its part and parcel of the modern game. If you want to perform every match support a robot not human beings. We are still in the mix as we have lost 1 match. I am amazed with some of the nonsense and comparison with losers who play on Thursday.
 
Relax, let them talk, but "WE'' arsenal we talk when we want to talk,that is what suit us at the moment things are not ok. U can not blame any1 for what happen but we agree that our performance was not as sharp as previous games.. We lost Boldness on the MF. Absence of S.Cazora and Hector.. As RB.

So far lets focus on next game....
 
I'm always cool, but I am not going to join the stupid band wagon of some of the people. People can say whatever they want, that's their prerogative but to partition the blame on one person is not justified bearing in mind what he has achieved so far. There are a lot of clubs who would like to be on the position we hold. Ding ... Dong.
 
Are you sure???
Manure they would been very happy to be in our position at the moment. Waulize kuwa na point 25 au 19? Then wanacheza kila Ali Hamisi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sasa mapovu ya nini? Is this still an open forum without insults? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Good naona maneno yangu yamekuingia kwenye mtima, and that is exactly what they meant to be, Good one Wacha1 ndio wakome.
Mkuu kama wewe unafahamu mpira zaidi ya Prof usingekuwa unagangaa njaa hapa JF. We drew the match in particular with the circumstances and we managed 1 point, then unaongelea pumba. Maybe its about time usishabikie Arsenal kama wewe ni mshabiki wake au unaleta umbeya tu si ubaki huko huko Chelsick khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Sports is a difficulty game and any sportsmen/women will tell you how difficult it is to get results. I am happy at the moment of what we have achieved, if I say otherwise I will not be doing justice to myself. Ni hayawani tu au mwenye kichaa ndio atasema hivyo. BTW which Chelsick? Hawa wanaocheza Ali Hamisi? Wasipotoa rupia hawashindi! Phew what a yak?

Khe kheeeeee
Arsenal Special Thread

Arsenal Special Thread
 
Manure they would been very happy to be in our position at the moment. Waulize kuwa na point 25 au 19? Then wanacheza kila Ali Hamisi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Gemu 17 bila kupoteza sio jambo la mchezomchezo! I love the team spirit. Hatupotezi pambano kizembezembe. COYG!!!
 
Ila muda mwingine wenger anazingua kichizi yaani, game ya muhimu kama ya jana kwanini hakumpanga ozil mapasi??
 
Back
Top Bottom