Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bora tumetoa draw maana mtaani kusingekalika leo hii na kelele za hawa mashetani wekundu. Upangaji wa timu na anao anao nyingi zinatukosesha points za maana sana. Hakukuwa na sababu za Giroud kuwepo bench leo hasa ukitilia maanani hii miezi ya karibuni amekuwa ni mfungaji mzuri katika baadhi ya mechi alizocheza.

Hii mechi tungeenda kutafuta ushindi sio kucheza cautious game kama tulivyocheza leo. Man Utd walikuwa wanatawala Midfield(nilivyoona) kuliko sisi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole kwa kukosa mke Mkuu, nami naisubiri hiyo game in 24 minutes. Napenda kuwaangalia Liverpool wameanza kucheza kandanda inayovutia kwa wapenzi, natumai na leo pia wataonyesha kandanda safi.
Mkuu Liverpool ya Klopp siyo ile ya mtu mmoja aliyoijenga Benitez ama ya watu wawili alioijenga Rodgers.

Liver ya sasa hivi inahubiri teamwork, ndio maana wapinzani wanashindwa kuamua wamkabe nani maana kila mchezaji anaweza kubadili matokeo/mwelekeo wa game.

Raha sana kuona Timu inacheza kwa pamoja bila kumtegemea mtu mmoja.....Siku hizi ushindi ni utamaduni wa Liverpool.
 
Ndiyo tatizo letu hatuchezi kwa kujiamini ili kupata ushindi. Nadhani kocha atakuwa anachangia hali hii kutokana na maelezo anayowapa wachezaji. MANU walikuwa wako two steps ahead of us most of the time hata mashambulizi yao yalikuwa ni ya uhakika ukilinganisha na ya kwetu. Tumebahatika Mkuu kutoa draw leo tulistahili kupigwa.

Hii mechi tungeenda kutafuta ushindi sio kucheza cautious game kama tulivyocheza leo. Man Utd walikuwa wanatawala Midfield(nilivyoona) kuliko sisi.
 
Tumepoteza 4 points in a spin of games Vs Totts na Manure, tunahitaji kuanza kuchukua points kama tumepagawa sasa. Bring them on .... .... .......
 
Habari nilizozipata hivi punde, AW aliwaambia wachezaji wachukulie hii mechi kama mazoezi ili kumpa kichwa Moureen kwamba ana timu bora, maana wangepigwa magoli leo angefukuzwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huo ujinga upo kwenu Tanzania tu.
 
Huo ujinga upo kwenu Tanzania.

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sasa mapovu ya nini? Is this still an open forum without insults? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Good naona maneno yangu yamekuingia kwenye mtima, and that is exactly what they meant to be, Good one Wacha1 ndio wakome.
 
Tumepoteza 4 points in a spin of games Vs Totts na Manure, tunahitaji kuanza kuchukua points kama tumepagawa sasa. Bring them on .... .... .......

Arsenal halisi inaanza kuonekana.
 
Habari nilizozipata hivi punde, AW aliwaambia wachezaji wachukulie hii mechi kama mazoezi ili kumpa kichwa Moureen kwamba ana timu bora, maana wangepigwa magoli leo angefukuzwa khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
acha kujifariji mkuu.. leo mmeboronga ilitakiwa mshinde game ile
 
upload_2016-11-19_15-5-38.png

Moureen kakubali menyewe kwamba Gunners did not turn up, chacha kwa nini wa-turn up na katimu kadogo kama Manure ..... ooops Red Cross team khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

upload_2016-11-19_15-7-37.png

Prof anamwambia Mooreen nimekuachia leo wangekufukuza ..... .....

upload_2016-11-19_15-9-0.png

Sitaki lawana jaribu kuondoka kwenye mechi za Ali Hamisi
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

upload_2016-11-19_15-10-0.png

Safi sana le Prof .... ..... [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
acha kujifariji mkuu.. leo mmeboronga ilitakiwa mshinde game ile

Sasa nijifariji vipi? The character of a team is seen when they're down, they can bounce back, and that's exactly what we (Gunners) did. What else do you want. The table shows we are 2 games apart i.e. Manure 6 points below Gunners, this is a marathon, you better continue to play on Thursdays if you think there are easy matches this season. Tinawachubiri Emirates chacha na hapo ndipo mtakapofahamu zipi ni mbivu.
 
upload_2016-11-19_15-29-38.png

Sikiliza Ox nakupa kazi moja tu, nenda katoe cross kwa OG ....Ding ...Dong.
 
upload_2016-11-19_15-33-34.png

''Olivier Giroud has scored more Premier League goals as a substitute
for Arsenal than any other player (10).''

upload_2016-11-19_15-34-8.png

What they said ''More steel than style''
Tangu msimu uanze tumepoteza mechi moja tu nyumbani mambo bado sana, ndio EPL hiyo.
 
upload_2016-11-19_15-43-57.png

The Ox .... ... . provider

upload_2016-11-19_15-44-57.png

3A8B875900000578-0-image-a-163_1479565293342.jpg

OG the killer .... .... [HASHTAG]#COYG[/HASHTAG]
 
Tumepoteza 4 points in a spin of games Vs Totts na Manure, tunahitaji kuanza kuchukua points kama tumepagawa sasa. Bring them on .... .... .......

Inatakiwa tu-bounce back vs PSG, Bournemouth or else we can count our season to be on its way down.
 
Namuomba Mungu Ramsey auume msimu mzima .....

upload_2016-11-19_15-56-24.png

Wacha fujo wewe Ramsey alikuwa kwenye position isiyokuwa yake
baadaye alirudishwa katikati baada ya subs ... .

alikuwa anamwambia Moreen wewe ulie tu
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

upload_2016-11-19_16-0-6.png
 
Ujinga huo wa kujifariji huwezi kuukuta kule chelsea.. wakiboronga inabidi ukweli usemwe.. kama chafu sema chafu sio eti imechafuka kidogo..
 
Back
Top Bottom