fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Usiofu kaka ipo siku tutabeba tu na sisNdani ya miaka 14 kuna timu zimefurahia timu zao kubeba ubingwa ila wengine wanashangilia wachezaji kusaini mikataba mipya.
#THEDIFFERENCE#
Usiofu kaka ipo siku tutabeba tu na sisNdani ya miaka 14 kuna timu zimefurahia timu zao kubeba ubingwa ila wengine wanashangilia wachezaji kusaini mikataba mipya.
#THEDIFFERENCE#
Wapenzi wa Man Utd mmebaki kudandia timu za wengine.
Tena hao ndo tunawataka....tunawanyoosha mpaka wasahau kwaoLeo nawaombea mshinde ili round inayofuata mkutane na Bayern Munich...
Leo nawaombea mshinde ili round inayofuata mkutane na Bayern Munich...
Asante sana mrithi wa Sheikh Yahya na mimi nikutakie umalize wa pili ukutane na Lei City najua una timu UCL(hata kama kwa mkopo)Tena hao ndo tunawataka....tunawanyoosha mpaka wasahau kwao
Asante sana mrithi wa Sheikh Yahya na mimi nikutakie umalize wa pili ukutane na Lei City najua una timu UCL(hata kama kwa mkopo)
Unataka updates???Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sintoweza kuangalia game ya leo naomba waungwana mtusaidie kutupatia updates kadri ya mambo yatakavyokua.
Unataka updates???
Yeap....!i mean it kaka.
Hata kama hujui kusoma naamini picha unaweza kuangalia.
![]()
![]()
Coq kapata yellow nadhani game ijayo hatachezaAsante mkuu hapa ndio nitapata updates usiache kunijuza.
Wenger bado anahangaika na koti lake
[HASHTAG]#Samethingneverchange[/HASHTAG]
Atleast ana kombe la UEFAMourinho anahangaika kutafuta timu itakayo mwajiri msimu ujao.