orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 756
- 775
Nikweli jana vijana hawaku-deliver performance ya maana. Hivi vitu vya kawaida sana, international break imewachosha vijana na of course technicalities za hapa na pale kati ya benchi la ufundi na individual performance ya wachezaji haikuwa poa kivile. (Hivi ni vitu vya kawaida kwenye kandanda). Chamsingi tumefanikiwa kuondoka na pointi moja ugenini dhidi ya kikosi ghali kwenye premier league kama sio ulaya mzima. Let us focus on our next contest against the mighty PSG (gemu ya manure is just water under the bridge by now). Tuwachape PSG tuongoze kundi then tutaona ni namna gani tutaweza kutoboa kwenye hatua za mtoano. I like the team spirit. COYG!
