AmenLeo tutawafunga hawa mashetani naamini hvyo
Woooow muheshimiwa sana...Le Super Manager Prof. Arsene Wenger
View attachment 436384
Moureen akiingia Old Trashford .... .... ..
Angalia body language .. .... ..... .... .....




Umeanza kuleta nuksi kwenye uzi wa Le Goons!!Leo kipigo kinawahusu
Teh teh tehUmeanza kuleta nuksi kwenye uzi wa Le Goons!!

Halafu una utabiri mzuri wewe?Huu wa leo ukitimia nitakuvulia kofia.Piga hao mashetani wekundu 2-0 wakaendeleze udhetani wao.
Halafu una utabiri mzuri wewe?Huu wa leo ukitimia nitakuvulia kofia.
