Forward bado imekosa mwelekeo ila game imebalance Arsenal katishaKwa mnaouangalia mpira vipi parfomanc ya Arsenal ikoje...???

Kwa mnaouangalia mpira vipi parfomanc ya Arsenal ikoje...???
Natamani sana Iwobi achukue nafasi ya RamboProf. anajua anachokifanya,tutulie tu.
Kazi ya ukocha ni moja kati ya kazi ngumu Duniani.![]()
Half time.
Tuombe tu ila game ngumuHawa Manyu watafungika kweli?
Kazi ya ukocha ni moja kati ya kazi ngumu Duniani.
Nakumbuka Mourinho aliwahi kusema "Kazi ya ukocha inaweza kukufanya chizi.
Timu ikishinda ni furaha,lakini mkifungwa hata kama makosa ni ya wachezaji lawama zote atapewa kocha"
Kila wakati huwa naitafakari hii kauli ni kweli kabisa.
Ndio maana huwa napenda Arsenal ishinde wakati wote,furaha yangu kuu ni kumuona Wenger akifurahi.
Huwa namuonea huruma sana Mzee,tukifungwa naumia kwa ajili yake!
Nifah baada ya gemu nikuone pale man u threadKazi ya ukocha ni moja kati ya kazi ngumu Duniani.