Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,433
- 38,401
COYG! Nisamehe Mkuu. Kidole gumba kiliteleza!Mbona kweli kaka. Usitukane tetea kwa hoja. Mbona sisi wanaarsenal tunapenda matusi sana
COYG! Nisamehe Mkuu. Kidole gumba kiliteleza!Mbona kweli kaka. Usitukane tetea kwa hoja. Mbona sisi wanaarsenal tunapenda matusi sana
Sibiri ni masaa kazaa kufikia mtanangeSiyo kwamba tutatunguliwa sisi tatu
Umefanya nicheke kwa nguvuManure 8 vs 0 Arsenal:
Hii tulipigwa mwaka 2011 mwezi fulani ivi. Hii mechi sitoisahau kamwe. Sijui kama leo tutarudisha zile nane
Manure 8 vs 0 Arsenal:
Hii tulipigwa mwaka 2011 mwezi fulani ivi. Hii mechi sitoisahau kamwe. Sijui kama leo tutarudisha zile nane
Ilikuwa 8-2Manure 8 vs 0 Arsenal:
Hii tulipigwa mwaka 2011 mwezi fulani ivi. Hii mechi sitoisahau kamwe. Sijui kama leo tutarudisha zile nane
Na iwe kheyr In Shaa Allah [emoji120]Arsenal nimewapa Karata yangu.....nafasi yenu ya kushinda hii mechi ni kubwa.
Hapa tu ndipo tunapoenda sawa,kwingine kote chenga [emoji12]COYG!!
Jamaa'ngu kanibetia Mke....kwahiyo mjitahidi msijenikosesha zali🙁🙁🙁🙁Na iwe kheyr In Shaa Allah [emoji120]
Nilikuwa najaribu kuwakumbusha tuu
Zali hilo dada[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hihiiiiiiii mwenyewe nimebet na mtu humu...Jamaa'ngu kanibetia Mke....kwahiyo mjitahidi msijenikosesha zali🙁🙁🙁🙁
Hakuna zali siku hizi kaka,matatizo tu.Zali hilo dada
Haaa. Haaa. Haaa. Usipishane na gari la mshahara. Watu na bahati zenu.Hakuna zali siku hizi kaka,matatizo tu.