Kupenda ujinga tu!man 2-1asenal
Kwani ni leo ama kesho!Duuu, bellerin hayupo, na kazora pia naona kama tutakuwa na kazi leo si mchezo
Game leoKwani ni leo ama kesho!
Daaah. Ahsante. Ningepitwa. Nashukuru.Game leo
Kwani carzola mechi zilizopita alikuwepo???Duuu, bellerin hayupo, na kazora pia naona kama tutakuwa na kazi leo si mchezo
Kwani carzola mechi zilizopita alikuwepo???
Kwani ni leo ama kesho!
Huyu Jose buana.Jose: "I think Mr. Wenger has respect from others. I don’t think I have. My last league title was 18 months ago, not 18 years ago.”
Sawa lakini wenger simwaminiView attachment 436127
Mtanange utakuwa wa kukata na shoka hapo kesho . .... .. . Tutawasukuma Manure
waendelee kuishi kwenye Europa cup ... .... ... Mambo ya Ali Hamisi hayooooo ... .... ...
Siyo kwamba tutatunguliwa sisi tatuTutashinda 3 na zaidi
Mbona kweli kaka. Usitukane tetea kwa hoja. Mbona sisi wanaarsenal tunapenda matusi sanaKupenda ujinga tu!