Ngosha ukweli kwamba hamlingani na Barca, na ndio maana wao ni mabingwa watetezi na wametwaa vikombe vyote walivyoshindana mwaka jana wakati nyie ni sufuri.
Hayo maneno ya Messi ni mbinu ya kumsifia mpinzani. Hii hutumika badala ya kumtrash mpinzani wako ili kujidefend mambo yanapoenda kombo. Vilevile hata mambo yakienda sawa unajipa ujiko kuwa mliifunga timu 'nzuri' ..as simple as that.
Mara zote nimekuwa na uhakika na Arsenal na sijawhi kuwa dissapointed na vijana hawa. Let us wait na wale wote wasioamini kuwa Arsenal anamng'oa Barca wasubiri two weeks to come. Am very optmistic
Ushindi upo. Barca ya mwaka huu miguu imeanza kuchoka na wanamtegemea zaidi Messi kufunga magoli. Dawa ni kumzuia asicheze game lake.
Oyaa hizi excuse za refa zinatoaka wapi? Kwani ile ya Lehman haikuwa faulo?...Naaam 🙂
...nani kapotea wewe? tulikuwa tunajenga taifa kwanza! Hebu msome Messi mnayemuogopa nyie Manure anavyosema hapa...
...Draw ya leo nimeipokea kwa nderemo na vifijo! Finally tunakumbana tena na Barcelona tangu refa atuue siku ile kwenye fainali! BTW, hata 'Cashley' Cole hakufaa kuchezeshwa that day!...
It is 'payback' time, ...sweet revenge inanukia! Hii ndiyo game, au aina ya mpira 'suitable' kwa wachezaji na possessions na formation(s) za Arsenal kuonyesha who's superior in Europe.
Sio kwakuwa Chelski na Manure ni vibonde wa Barcelona ndio mkafikiri na Arsenal hivyo hivyo,...!
So long as refa atachezesha fair, BRING 'EM ON!!!!
Can't wait for it, Come on you Gunners...!!!!
Mkubwa hata wakitufunga sisi tukiwafunga Chelsea ubingwa wetuNasikia perfomance ya jana ya L'pool inamkosesha sana usingizi SAF, anawasiwasi mkubwa maana L'pool wanaiwania sana nafasi ya nne. Jumapili itakuwa mechi kali sana na kama L'pool wakiamua kula sahani moja na Rooney ambaye ndiye anayeibeba MANU basi lolote linaweza kutokea katika mechi hiyo.
Afadhali mosquito unajua kuwa kuwa wote nyie vibonde"Together we stand maaazee!" 😀
Peasant tunaomba dua zako mkubwa,
tutawalipia kisasi alichowafanya yule Iniesta.
Kombe la Champions League nalo lije London mwaka huu!
Mkubwa hata wakitufunga sisi tukiwafunga Chelsea ubingwa wetu
Mind games hizo ,shauri yakoManeno yako ni lweli lakini umemsikia Fergi au unabwata bwata tu ka jibwa jizi lililokula mkomg'oto wa jiwe? Au tumuulize pakajimmy? (I mean sio Pakajimmy wa JF in reality).
Belo anataka kuwa fergi khe khe khe ... ... naona unawaza chandimu khe khe kheeeeeeeeee au nawewe umekuwa kama Nani?
villa naona wameanza kudrop points sasa kama last season.AV wanasawazisha katika dakika ya 81
villa naona wameanza kudrop points sasa kama last season.