Halafu timu kama Everton zikikutana na Arsenal zinacheza "die hard" kichizi.
Leo wapo ndembendembe, 3-0 mapumziko.
Wenger kesho anataka kumuacha Xhaka na aanze na Coquelin, Elneny na Ramsey.
Anasema lazima Xhaka atakuwa target na wachezaji wa Spurs.
Tatizo la Ramsey hawezi defensive duties na kuchambulia kwa pamoja.
Tami ananiboa Sana huyu jamaa Sema kuna wakati anasaidia
Mbona wote wabovu msimu huu haoMwaka ambao Arsenal wanataka kushika nafasi ya kwanza kwenye group lao la Champions league ili kukwepa timu ngumu kwenye 16 bora ndio mwaka ambao Real Madrid, Bayern Munich na Juventus wanaelekea kushika nafasi ya 2 kwenye Magroup yao ili wakutane Vizuri na Arsenal.
Kweli Dunia haina usawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kosa walililofanya Everton ni kubadili formation kwa kuweka beki 3 nyuma kama Chelsea (3-4-3). Ukiangalia unaona kuna mapengo katika Full back positions ya Everton. Anyway, Chelsea watapatikana muda si mrefu, watu watasahau jinsi walivyoshinda mechi kadhaa hizi. Kesho tunatakiwa kugonga vichwa ila naona draw is written all over the North London derby. Kesho kitakachotupa shida nadhani itakuwa ku-contain speed na midfielder ya Spurs. Xhaka akicheza itakuwa vizuri kuliko Elneny kwa muono wangu, sidhani kama atafanya faulo za kijinga kama alivyofanya juzi kati. Ramsey ni mzuri kwenda mbele sema anakuwaga mroho na mchoyo katika maeneo mazuri.
Tottenham watawakosa Moussa Sissoko, Toby Alderweireld, Erik Lamela na Ben Davies ambao bado ni majeruhi.
Harry Kane ndiyo karudi kutoka kuwa majeruhi hivyo hawezi kuanza moja kwa moja.
Hivyo Vincent Janssen na Son Heung-min bado hawajatoa ushindani halisi kwa Kane na si Dele Alli wala Christian Eriksen ambao wameng'ara katika mechi zilizopita.
Bila shaka Victor Wanyama atawasaidia sana katikati inagwa atahangaishwa sana na viungo wa Arsenal.
Lakini ni North London Derby lolote linaweza kutokea ingawa nawapa nafasi Arsenal kutumi nafasi ya man City ambao leo wamehenyeshwa na Middlesbrough.
Kosa walililofanya Everton ni kubadili formation kwa kuweka beki 3 nyuma kama Chelsea (3-4-3). Ukiangalia unaona kuna mapengo katika Full back positions ya Everton. Anyway, Chelsea watapatikana muda si mrefu, watu watasahau jinsi walivyoshinda mechi kadhaa hizi. Kesho tunatakiwa kugonga vichwa ila naona draw is written all over the North London derby. Kesho kitakachotupa shida nadhani itakuwa ku-contain speed na midfielder ya Spurs. Xhaka akicheza itakuwa vizuri kuliko Elneny kwa muono wangu, sidhani kama atafanya faulo za kijinga kama alivyofanya juzi kati. Ramsey ni mzuri kwenda mbele sema anakuwaga mroho na mchoyo katika maeneo mazuri.
Koeman amefanya mistake kubwa kujaribu hiyo system kwenye game ya Chelsea walio kwenye form
Halafu kosa lingine kubwa ni kwa wazungu kumwandama Koeman amchezeshe Ross Brkley kwa kuwa ni mchezaji muhimu wa England.
Mwanzoni Koeman hakuwa anampanga Barkley na sasa naona atamrudisha akapashe moto bench.
Pia Yannick Bolasie pamoja na kuzungumza Kilingala na Lukaku wawapo uwanjani wanashindwa kabisa kucheza kama partners na Bolasie anakuwa akifukuza upepo tu.
Tusubiri mechi ya Chelsea na Middlesbrough wiki moja ijayo ndiyo tutapata picha maana Middelsbrough huwa wankesha usiku wakisoma videos za timu pinzani.
kesho itakuwa patashika nguo kuchanika
Nakubaliana na wewe 100%. Hii haikuwa mechi ya experimentation, vile vile mtu kama Ashley Williams yupo very slow kucheza system hii hasa anapokutana na quick wingers. Goli la kwanza la Chelsea Ashley alikuwa slow kumclose down Hazard. Mimi naona system ya 3-4-3 pamoja na kuwa na manufaa kwa Chelsea so far bado ina weakness inaacha openings at the back, especially opponents wakiwa na quick midfielders and attackers wa naweza kuexpose, hata system ya Arsenal pia ipo suspectible kiaina sababu full backs wanajivuta mbele kidogo na kuacha center backs alone . Uzuri ni kuwa all back four wa Arsenal wana pace/speed ukilinganisha na misimu iliyotangulia or ukilinganisha na Everton.Koeman amefanya mistake kubwa kujaribu hiyo system kwenye game ya Chelsea walio kwenye form
Chelsea kupatikana ni vigumu sana. Chamsingi tuangalie upande wetu. Tushinde tupate point 3 full stop. Information wanayocheza chelsea 343 ni ngumu sana, but timu ikielewa inakuwa rahisi. Ebu angalia mechi 5 chelsea wamefungunga magoli 16 bila kufungwa hata moja. So we need to work hard. Pia naamini hata sasa tukikutana chelsea hatutawafunga zile 3 bali wanaweza wakatuchakaza bila aibu.Kosa walililofanya Everton ni kubadili formation kwa kuweka beki 3 nyuma kama Chelsea (3-4-3). Ukiangalia unaona kuna mapengo katika Full back positions ya Everton. Anyway, Chelsea watapatikana muda si mrefu, watu watasahau jinsi walivyoshinda mechi kadhaa hizi. Kesho tunatakiwa kugonga vichwa ila naona draw is written all over the North London derby. Kesho kitakachotupa shida nadhani itakuwa ku-contain speed na midfielder ya Spurs. Xhaka akicheza itakuwa vizuri kuliko Elneny kwa muono wangu, sidhani kama atafanya faulo za kijinga kama alivyofanya juzi kati. Ramsey ni mzuri kwenda mbele sema anakuwaga mroho na mchoyo katika maeneo mazuri.
Chelsea kupatikana ni vigumu sana. Chamsingi tuangalie upande wetu. Tushinde tupate point 3 full stop. Information wanayocheza chelsea 343 ni ngumu sana, but timu ikielewa inakuwa rahisi. Ebu angalia mechi 5 chelsea wamefungunga magoli 16 bila kufungwa hata moja. So we need to work hard. Pia naamini hata sasa tukikutana chelsea hatutawafunga zile 3 bali wanaweza wakatuchakaza bila aibu.
Kwani sis arsenal tuna mpira gani. Kaka tusiwe watu wa kusahau kumbuka msimu 2013/2014 tuliongoza ligi adi january but unakumbuka nin kilitokea. Mim chelsea huwa siwabezi hata kidogo. Chamsingi tuongeee ya kwetu tupate point 3 basi tusonge mbele
Kwa mpira gani? khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwani sis arsenal tuna mpira gani. Kaka tusiwe watu wa kusahau kumbuka msimu 2013/2014 tuliongoza ligi adi january but unakumbuka nin kilitokea. Mim chelsea huwa siwabezi hata kidogo. Chamsingi tuongeee ya kwetu tupate point 3 basi tusonge mbele
Hahaha wachaaaaa1 hahhaSasa unaongelea Chelsick leo iwe nini, mpira tumewafunga game ya kwanza sasa unataka nini kama sio kuandika pumba. BTW mpira tunaocheza unafundishwa Colney. ..... ...... Ding ...Dong.
Hakuna formation isiyofungika.Walikuwa wanasema hivyo hivyo juu ya Manchester City formation, angalia walivyo sasa.Chelsea kupatikana ni vigumu sana. Chamsingi tuangalie upande wetu. Tushinde tupate point 3 full stop. Information wanayocheza chelsea 343 ni ngumu sana, but timu ikielewa inakuwa rahisi. Ebu angalia mechi 5 chelsea wamefungunga magoli 16 bila kufungwa hata moja. So we need to work hard. Pia naamini hata sasa tukikutana chelsea hatutawafunga zile 3 bali wanaweza wakatuchakaza bila aibu.
Richard
Kitale kitakuwa kikali sana kesho prof ana mbinu nyingi pia wachezaji wa kubadili mchezo wakati wowote.
Mechi siku hizi zinaamuliwa mapema ukitangulia kufungwa mapema ni ngumu kurudi mchezoni ndio maana Arsenal alimfunga Chelsea kipindi cha kwanza,Kuwafunga Chelsea cheza mpira wa kasi,washambulie na usikose magoli,Chelsea ya sasa wakiwa na mpira wamekuwa wanatumia nafasi vizuri na wanashambulia toka pande zote (Alonso,Moses,Matic,Pedro,Hazard) wameadapt system ya kocha mapemaNakubaliana na wewe 100%. Hii haikuwa mechi ya experimentation, vile vile mtu kama Ashley Williams yupo very slow kucheza system hii hasa anapokutana na quick wingers. Goli la kwanza la Chelsea Ashley alikuwa slow kumclose down Hazard. Mimi naona system ya 3-4-3 pamoja na kuwa na manufaa kwa Chelsea so far bado ina weakness inaacha openings at the back, especially opponents wakiwa na quick midfielders and attackers wa naweza kuexpose, hata system ya Arsenal pia ipo suspectible kiaina sababu full backs wanajivuta mbele kidogo na kuacha center backs alone . Uzuri ni kuwa all back four wa Arsenal wana pace/speed ukilinganisha na misimu iliyotangulia or ukilinganisha na Everton.