The 10 stages of Mesut Ozil's stunning late winner for Arsenal against Ludogorets
Stage 1: Staying onside
![]()
Stage 2: Spotting the goalkeeper off his line
![]()
Kusema kweli alichokifanya mesut ozil ile jana was completely unnecessary and a very risky decision. Ukiangalia kwa umakini unaona kwamba ozil alikuwa ana uwezo wa kufunga pindi tu alipofanikiwa kuwachomoka mabeki huku golikipa akiwa ashachomoka golini. (Cheki stage 2 za picha alizotuma kashengo). Naongea hivi nikimaanisha kuwa kama ingetokea ozil akawa dispossessed ule mpira au akawa disturbed to the extent kwamba akashindwa ku-score basi leo hii mashabiki wa arsenal wangekuwa wako bize kumtukana ozil kwa kukosa umakini na kuikosesha timu ushindi muhimu. (Ni maoni tu). Otherwise: What a beauty from Ozil!!!The 10 stages of Mesut Ozil's stunning late winner for Arsenal against Ludogorets
Stage 1: Staying onside
![]()
Stage 2: Spotting the goalkeeper off his line
![]()
Ila tuacheni utani. Hili goli la OZIL ni Balaa jamani..
Hembu tusubirieUkitaka kumfurahia huyo tumpige man yu na spurs
DaaahGibbs,Walcott, Cazorla and Monreal will probably miss the NL derby. Not looking good.