Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Teh teh....just wait and see...Campbell mbona yuko njema tu aisee,utaona tu jinsi atakavomficha Messi siku hiyo🙂🙂(maana ulivoongea utadhani tayari tumepangwa na Barca)
Aah Ngosha wasema hayo kutoka kwa moyo kweli??. Nayahisi mapigo yako ya moyo yanavoenda kasi ukitajiwa jina Messi au Eto'o hta nikiwa huku ..
Sasa ni beki gani ana kasi ya kumdhibiti messi at worst case tukipangiwa Bacelona kwenye draw ha robo fainali ijumaa.
....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.
Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀
Utabili wako umetimia tumewapata Barcelona,Man u wana mtelemko....dah, haya tena, masaa mawili na usheee yajayo Quarter final draw ya Champions League itawekwa mezani.
Natamani sana tuwapate Barcelona au Inter Milan!,...😀
Ngosha u wapi?
Mtoto akililia Wembe mpe
Mbona mmepotea ghafla
Kumbuka kuna kufulia pia.........lolz