Kinachoniudhi sasa hivi ni washenzi wa Facebook wameniblock... Arsenal wamenipunguzia machungu.
Mkuu, wamekublock vipi?
Mmekutana na kibonde tyuAisee aseno wako vizuri sana saiz
Wajinga wanadai eti nitumie jina langu halisi. Utadhani serikali ya Wanzuki chimpumu gongo pingu
Mara ya ngapi hiyooo nafikiri ni mara ya 3Ozil ametoa wapi hizi bouncing ball trick.....?
Njoo wewe kilima... Tukupande vizuriMmekutana na kibonde tyu
Kibonde UEFA?Mmekutana na kibonde tyu
HahahahahaNjoo wewe kilima... Tukupande vizuri
Kibonde anafikaje UEFA?Mmekutana na kibonde tyu
Hongereni sana kwa Ushindi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


nilikua nasubiri kusikia toka kwako...asante sana,ulimuona Ozil lakini?