Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Wewe utamfunga Man City
Chelsea na Man U mkijitahidi sana re
Uliwaona Man U wameweka kabisa Ikarusi Kumbakumba golini?
Wewe utamfunga Man City
Kwani Mimi nina chuki basi !!! Niliwabariki kabisa kabla ya Mechi mkafanye vizuri.......Jana ilikuwa siku ya Ozil.nilikua nasubiri kusikia toka kwako...asante sana,ulimuona Ozil lakini?
Dah ...Safi sana Oziii
Kumbe Nifah we ni gunner, safi sana, usihofu maana tuko on fireeee!!View attachment 422362 Happy birthday Dady,boss,manager.
Naombea mechi ya leo tushinde,napenda kumuona Wenger akiwa na furaha.
Na hasa leo siku yake muhimu.
Fire ya kifuu cha nazi.Kumbe Nifah we ni gunner, safi sana, usihofu maana tuko on fireeee!!
Hadi nimejisikia aibu!Ninavyoipenda Arsenal huwa natamani dunia nzima ijue mimi ni Gunner.Kumbe Nifah we ni gunner, safi sana, usihofu maana tuko on fireeee!!

Kibonde anafikaje UEFA?
kaka siku hizi mambo yako mazuri.Unapendaje vibonde baskeli ya barafuuHadi nimejisikia aibu!Ninavyoipenda Arsenal huwa natamani dunia nzima ijue mimi ni Gunner.
Dah!
Yes yes...
Fireeeeeee![]()
timu mbovu kuliko zote uwingereza ni aseno ..nafas ake kila mwaka inajulikana ni ya nne

Toroka uje Nifah,arsenal itakukondesha tuView attachment 422362 Happy birthday Dady,boss,manager.
Naombea mechi ya leo tushinde,napenda kumuona Wenger akiwa na furaha.
Na hasa leo siku yake muhimu.
asee hakuna timu nalichukia kama hili mnaloshabikiaa ...timu mbovuuuuu...![]()
Arsenal ikienda Sofia inatakiwa kuwamaliza kabisa hawa jamaa ili kuwa na uhakika wa kuongoza kundi hili kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi.
Ila mechi na PSG hapo tarehe 23 November ndiyo itaamua.
wore hao mbwembwe tu ..wanavuma baada ya bech mbili wanapoteaaNi kweli kuna Iwobi, Perez na Elneny wanaweza kuingia badala ya Sanchez, Walcott na Ozil.
mmekutana na vibondee Conte atawanyoosha wee ngoja tuuArsenal 3-0 Wao heeee heeee.
HT
0-0
Naona watoto wanataka kuharibu keki ya Mr. Bean, man of the match so far ni peter cechLeo hali inaweza kubadilika. Hawa 'boro wapo vizuri sana leo.
Naona watoto wanataka kuharibu keki ya Mr. Bean, man of the match so far ni peter cech


nilijua utakuja mpwa,ila Arsenal ya leo sio ya jana.