Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kidogo waniue kwa Pressure. Good points, poor defending. Kina nani walikuwa wanasema hii mechi itakuwa rahisi? Kwa mara ya 2 mfululizo tumetolewa kamasi lakini kwa kudra za kimpira tumeshinda.
No kidding, Niliacha kuangalia mechi baada ya Swansea kufunga la 2.
 
Bahati mbaya tungekuwa tunaongoza. Ule moto wa Citey umepotea. Bahati yao kitanzi kilikatika, Guardiola ameshaanza kuona joto ya jiwe la EPL. Wameshindwa kufunga penati 2 lol. Tottenham wameponea chup chup. Liverpool Pazi, Malafyale nawatakia ushindi mnono jumatatu.
 
Aiseeee. Liverpool dua kwao.
 
4872.jpg

Borja Baston puts Swansea back into contention.
 
hawa swansea washenzi kweli, wame fanya niangalie mpira kwa jicho moja so mchezo
Kuna mtu humu alisema hawa Swansea kuna button yetu moja huwa wanaijulia sana. Wanachofanya ni kupress tu.
 
Mie hata kukaa nilishindwa Mkuu dah! nilikuwa naangalia mpira huku nimesimama hahahahaha huku nikijua jamaa wanafunga la tatu wakati wowote ule na si ajabu la nne dah! Kuwekana roho juu kiasi kile si vizuri hata kidogo. Bora tumeshinda.

hawa swansea washenzi kweli, wame fanya niangalie mpira kwa jicho moja so mchezo
 
ila arsenal kukaa pale kileleni kwa sasa hivi ni matatizo, maana presha ya ku mantain position itakua kubwa, itatupelekea tusifanye vizur cha msing ni ku close gape tusiwe mbali na mtangulizi
 
5007.jpg

Theo Walcott celebrates scoring Arsenal’s first goal against Swansea
 
Bahati mbaya tungekuwa tunaongoza. Ule moto wa Citey umepotea. Bahati yao kitanzi kilikatika, Guardiola ameshaanza kuona joto ya jiwe la EPL. Wameshindwa kufunga penati 2 lol. Tottenham wameponea chup chup. Liverpool Pazi, Malafyale nawatakia ushindi mnono jumatatu.
Laana ya Yaya Toure haitamuacha Pep....

Na bado...
 
Back
Top Bottom